Hizi ndio biashara 17 zitakazofanya utoboe haraka maisha

tatizo motivators wengi hawafanyi biashara husika practically. Wanasema tu.

Anyways, over 60% ya biashara ulizotaja hapo nimewahi zijaribu na nimejipata kwa kitu tofauti kabisa. Kwa ground mambo mi tofauti sana
 
Biashara ya shule ni pasua kichwa. Na ubaya TRA siku hizi wanawassumbua sana.
mkuu habari,

unaweza dadavua kiufupi changamoto kuu za hii biashara ni zipi na pengine nini mzizi wa suluhu yake kwa upeo wako tafadhari?
 
Wabongo!! nisikilizeni....!!

Haya mawazo ni mazuri sana...ila kabla ya kufuata kilichoandikwa humu ndani!!

Embu jiulizeni kwanza:

1. Je, alieandika katoboa kupitia hizi biashara?
2. Je, alieandika anajishughulisha na nini?
3. Na kama ameshafanya mojawapo ya biashara, mbona hajatuonyesha faida na mapungufu yake?

Kwanini nasema hivi!!

Ni kwasababu, hapa bongo kunatatizo kubwa sana, la kushawishiana UJINGA!!

Unakuta mtu, hafanyi kile asemacho alafu anawashawishi watu, wafanye kitu fulani...

Kama huu si kuambukizana Ujinga ni Nini?

Wajuba kuweni makini na kila mnachoambiwa kufanya katika hii mitandao...maana fujo ni nyingi sana humu mitandaoni.
 
Kuna haja gani mwandishi kuonyesha mifano wakati yote aliyoandika hapo yanafanywa huko mtaani. Kwa ushauri wangu ndugu Adil jifunze jambo lolote lililo mbele yako kama hujalipenda sio vyema kushawishi na wengine wafuate mawazo yako. Wenzako wanajifunza hayahaya ya bila mifano na wanaanzisha biashara na zinasonga mbele. Ni nani asiyeijua biashara ya duka la hardware humu ndani. JIONGEZE DON'T BE NEGATIVE
 
Wewe unafanya hiko, kitu au unanyegeka tu!

Usiongee kuhusu yafanywayo na watu wengine...ongea kile unachofanya wewe!!

Pia watu wanaofanya hizo biashara hawana nyege za kuropoka ovyo, coz wanajua kile wanachofanya kinahitaji vitendo zaidi na sio porojo za kijinga.
 
Sio wote wanaroho kama yako bwana Adili. Wengine ni watoaji wa mawazo. Kuwa mvumilivu hii ni global world kila jambo litawekwa wazi utake usitake.
 
Sio wote wanaroho kama yako bwana Adili. Wengine ni watoaji wa mawazo. Kuwa mvumilivu hii ni global world kila jambo litawekwa wazi utake usitake.
Unajua shida yako wewe ni kuwa hufikirii na pia huulizi, kwa ninavyo kuona wewe ni mtu wa kufuata mkumbo.

Na ndiomana watu kama ninyi ni rahisi kutapeliwa ama kupotezeshwa maboya na kwenda kuchoma pesa zenu kijinga kabisa.

Kwasababu, hujakaa kutafakari kama Wazo ni Wazo tu, Wazo halina uhalisia Mpaka lifanyike kwa Vitendo.

Mfano; sasahivi nije na wazo na nianze kusema "Ukiwa na million zako 2 tu, unaweza anzisha biashara ya kilimo cha nyanya na utapiga pesa sana....yaan mwaka huu lazima utoboe"

Unadhani ni wangapi kama wewe, watapotea!!???
 
Bwana Adili, Mzee Kikwete alishawahi kusema za kuambiwa changanya na zako. Chukua wazo lichakachukue. Ulichokosa hapo ni uthubutu. Kemea roho ya kukosa uthubutu. Mwambie JEHOVA niondolee roho ya kujiuliza mara mbili mara nionapo wazo. Hakuna mtu wakukutapeli fedha yako maana hiyo biashara unajifungulia mwenyewe.
 
Kwendaa uko...na upuuzi wako!!
 
Njoo uongee humu JF ukishakuwa Tajiri...na kama lah, nenda ukajichue kichwa vizuri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…