leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 732
Nina ushauli huu, kama unaweza basi jitahidi kutafuta kajikitabu kadoogo kanaitwa (kama sijakosea) 'The secret of Terrorist' kisha tutarejea kwa history.
mkuu ALEYN hapo ndio patam haswaa
kwani wewe umeelewaje ?
elezea kidogo ulivyo elewa hayo maandiko ili tupate pa kuanzia
Ntakituafuta mkuu, ila ingekuwa vizuri ukintajia na muandishi
Za siku nzuri mkuu sijui kwa upande wako,
Ninasema haya mambo ni uongo kwa sababu hawa jamaa hawana uthibitisho na wasemacho.
lucifer-mkuu wa malaika wote waovu waliotimuliwa siku ile mbinguni na kutupwa duniani.
Mkuu, haya mambo hayaendi hivi hivi tu, hapa kuna suala la unabii ambao piga ua garagaza lazima utimie na ndiyo maana weengi tunaona mambo mengine kama cinema ya kihindi vile mh !!.
Mkuu tukiwa tunaendelea na mada hii nahisi wafia dini watakuja na povu likiwatoka mdomoni kuona wanatukaniwa dini/dhehebu lake, kumbe mfumo ndivo ulivo na historia ipo wazi kutuhukumu.
Hebu tupeane weledi na tuweze kuendelea kujadili huku tukiweka ujazo kidogodogo.
Tukiwa tunasubiri utashi naomba mwenye kuwahi kukisoma kijitabu kidogo kiitwacho, "The secret of terrorist" atupe kidogo kilichojiri ndani ya kijitabu hicho.
Sijafuatilia muandishi wake ila nitakujuza siku si nyingi.
Kuna siri moja hivi ambayo ipo wazi ila mpaka upende kusoma kufuatilia mambo yanayoendelea humu ndani ya dunia kwamba, ile meli titanic ilitengenezwa mahususi kwa ajili ya kufanya mauaji ya kunufaika na waliohusika ktk hilo scandal ni hao wanafamilia, ukipata kusoma zaidi na kufuatilia unakutana na issue moja kuwa kulikuwa na matajiri kuliko hao wanafamilia watatu ila ktk mpango ambao unahusisha dhehebu flani na baba wa dunia walijenga ile meli na kuitangaza duniani kote kuwa chombo hicho kamwe hakitaweza kuzama pia kuwa na uwezo wa kupasua miamba ya barafu kuweza kupenya eneo husika, but
Uko sahihi mkuu, ukitaka kufanikiwa jambo lolote wajenge hofu wapenzani wako, mafanikio ni kama kusukuma mlevi, walichokigundua haya mataifa yaliyoendelea, ili tuendelee kuwalamba miguu ni kutujengea hofu sisi maskini ili tujue ili kufanikiwa jambo lazima tuwe kwenye huo upuuzi ama tuuamini huo upuuzi. We check zile strong organization zote duniani eti ndo supporters wao hadi Vatican kwa kujua ni strong institution wameiweka humo. theories za kusadikika hizo.
Sijafuatilia muandishi wake ila nitakujuza siku si nyingi.
Kuna siri moja hivi ambayo ipo wazi ila mpaka upende kusoma kufuatilia mambo yanayoendelea humu ndani ya dunia kwamba, ile meli titanic ilitengenezwa mahususi kwa ajili ya kufanya mauaji ya kunufaika na waliohusika ktk hilo scandal ni hao wanafamilia, ukipata kusoma zaidi na kufuatilia unakutana na issue moja kuwa kulikuwa na matajiri kuliko hao wanafamilia watatu ila ktk mpango ambao unahusisha dhehebu flani na baba wa dunia walijenga ile meli na kuitangaza duniani kote kuwa chombo hicho kamwe hakitaweza kuzama pia kuwa na uwezo wa kupasua miamba ya barafu kuweza kupenya eneo husika, but
Ndo maana nasema hizi consipiracy theories ni uongo. Mkuu ajali ya Titanic ina consipiracy nying sana.
Mojawapo ni kwamba Titanic ilikuwa imebeba yale masanamu kutoka pyramids za egypt, na inaaminika kwamba hayo masanamu huusishwa na bahati mbaya (mikosi) ndo maana meli ilizama. Wewe unaniambia ilikuwa imebeba matajiri ndo maana ilizama, sasa tuamin lipi tuache lipi?
Kuna maelezo mazuri tu ya chanzo cha ajali ya Titanic na yanaeleweka, kwa nini tuamini conspiracy theories mkuu?
Mkuu, haya mambo hayaendi hivi hivi tu, hapa kuna suala la unabii ambao piga ua garagaza lazima utimie na ndiyo maana weengi tunaona mambo mengine kama cinema ya kihindi vile mh !!.
sasa singa singa marekani utaendaje kama mambo hayo unaogopa ?
they die physically not spiritually and their souls continue to rule the world till JESUS comes back.
Well said mkuu, mimi huwa nasikitika sana kuona mtu anaamin upuuzi kama huu,
Yaani watu wakiwa matajiri mara utasikia freemason mara wanataka dunia moja wapi na wapi?
Hawa hawa ndo walisema 2000 mwisho wa dunia ikashindikana, wakadai 2012 ikagoma, sasa sijui wanataka nini.
Mkuu umewahi kujiuliza how waliweza ku plani kuzamisha Titanic six month later ikafunguliwa united federal bank ambayo ilifinance Russian revolution na vita ya kwanza ya dunia