Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka.
CCM ina wenyewe hii nayo itatamalaki.
Ugumu na ughali wa maisha itagusiwa sana pia.
Ufisadi wa wazi na kibabe nao utagusiwa sana.
Watu wa Kigoma, Tabora, Mwanza ,Shinyanga na Mkoa wa Mara mwaka 2025 mfanye tathimini kubwa sana na maamuzi magumu.