Hizi ndio hoja kuu zitazotawala kwa watu wa kanda ya ziwa mwaka 2025. Kubwa kabisa ni "Mungu kuamua ugomvi" na Nape na Membe kufurahia kwa kicheko

Wafuasi wa Magufuli na siasa za kikanda
Hawa watu ni wajinga sana...Kanda ya ziwa wanapiga kura kama kanda?
Kura za nchi hii zinapigwa na mtu mmoja mmoja sio kanda wala kabila au dini.
Anyway vyovyorw vile mtakavypfanya CCM itashinda kwa kishindo 2025 mtake msitake
 
Kanda ya ziwa msibemendwe mwendo umeshika kasi Nyankurungu2020 ahahaaaa...
👇🏾

Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka.

CCM ina wenyewe hii nayo itatamalaki.

Ugumu na ughali wa maisha itagusiwa sana pia.

Ufisadi wa wazi na kibabe nao utagusiwa sana.

Watu wa Kigoma, Tabora, Mwanza ,Shinyanga na Mkoa wa Mara mwaka 2025 mfanye tathimini kubwa sana na maamuzi magumu.
Kwa dharau ya kutudhau wavuvi kama huyu mama hatatoa tamko lakuridhisha kwa dhuluma tuliofanyiwa wavuvi natoa wito kwa wavuvi tujitafakari tunavyo dharauliwa tufanye maamuzi magumu kwanini lisu kalipwa nimuhanga kama sisi wafugaji pia husikilizwa lakini sisi tu
 
Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka.

CCM ina wenyewe hii nayo itatamalaki.

Ugumu na ughali wa maisha itagusiwa sana pia.

Ufisadi wa wazi na kibabe nao utagusiwa sana.

Watu wa Kigoma, Tabora, Mwanza ,Shinyanga na Mkoa wa Mara mwaka 2025 mfanye tathimini kubwa sana na maamuzi magumu.

Acheni ukabila. Mbona uchaguzi wa 2020 upinzani uliungwa mkono wakati walikuwa maadui wa Magufuli?.
 
Moderator kwanini mnawaacha hawa wakabila na wakanda waweke hizi mada kila siku

Moderator kwanini mnawaacha hawa wakabila na wakanda waweke hizi mada kila siku?
Anza na kuwanyamazisha wanaomchokonoa JPM. Huyu mwamba ukimdhihaki ujue umegusa sharubu la kanda ya ziwa na kanda zilizonufaika na miundombinu. Sasa we angalia Nape akiwa kwao katimia kejeli eti Mungu ameamua ugomvi wananchi wakapigwa na butwaa. Alivyojishtukia akawahamasisha wanaomkubali mama wanyoshe mkono juu watu wakamwangalia tu kama sanamu.
 
Eeh leo kanda pendwa imechachamaaa

Acha uongo kana kwamba video upiangalia pekee yako.

Halafu Kanda ya Ziwa Ni CHADEMA na CCM, Kama uchaguzi wa 2020 usingevurugwa majimbo baadhi ya Kanda ya Ziwa yangeenda CHADEMA Kama Musoma mjini na Gaita mjini na Bukoba Mjini.
 
Hapa umesema ukweli. Tuko pamoja
 
si
Acha uongo kana kwamba video upiangalia pekee yako.

Halafu Kanda ya Ziwa Ni CHADEMA na CCM, Kama uchaguzi wa 2020 usingevurugwa majimbo baadhi ya Kanda ya Ziwa yangeenda CHADEMA Kama Musoma mjini na Gaita mjini na Bukoba Mjini.
hayo tu Mwanza pekee Chadema ilikuwa na 40% madiwani 2015 na Vijiji 50% ?
Majimbo kanda ya ziwa na magharibu 35%
 
Wafuasi wa Magufuli na siasa za kikanda
Hawa watu ni wajinga sana...Kanda ya ziwa wanapiga kura kama kanda?
Kura za nchi hii zinapigwa na mtu mmoja mmoja sio kanda wala kabila au dini.
Anyway vyovyorw vile mtakavypfanya CCM itashinda kwa kishindo 2025 mtake msitake
Acha ukweli uwekwe wazi.
 
Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka.

CCM ina wenyewe hii nayo itatamalaki.

Ugumu na ughali wa maisha itagusiwa sana pia.

Ufisadi wa wazi na kibabe nao utagusiwa sana.

Watu wa Kigoma, Tabora, Mwanza ,Shinyanga na Mkoa wa Mara mwaka 2025 mfanye tathimini kubwa sana na maamuzi magumu.
Usijumlishe watu wa kanda ya ziwa wote wewe fala, mapenzi yako kwa dhalim kwa vile ulikuwa mchepuko wake yasihudishe watu wote wa kanda ya ziwa. Koma kabisa. Mimi ni Msukuma lakini sijawahi kumkubali huyo Mhutu wako.
 
Back
Top Bottom