Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Hamna jipya. Mnatapa tapa tu. 'Ooh Nape na Membe wamecheka, CCm inawenyewe sijui hali ngumu ya Maisha...' sasa hapo kuna kitu gani specific kama hujuma na athari kwa Kanda ya ziwa tu? Mumuulize huyo Nape basi kwa nini amechekw na kama kucheka ni dhambi? 'Ccm ina wenyewe' huo ni msemo wa kichama na upo miaka yote.Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka...
Ubaya wa makamu ni nini?Hili ni fundisho kwa Makamu na Mwigulu nao roho zao ni mbaya sn
Huyo mzee humjui ni mtu wa visasi kama marehemuUbaya wa makamu ni nini?
Lazima awafurushe ChademaHuyo mzee humjui ni mtu wa visasi kama marehemu
We PS umeamka? nenda kaziniLazima awafurushe Chadema
Tunaandaa safari ya viongozi wa Hapa Ufipa st wanaelekea Dodoma kwenye MaridhianoWe PS umeamka? nenda kazini
We ndiyo unachapa barua?Tunaandaa safari ya viongozi wa Hapa Ufipa st wanaelekea Dodoma kwenye Maridhiano
We jamaa una roho mbaya sana. Mbona unaumia sana roho Chadema wanapopata amani?Tunaandaa safari ya viongozi wa Hapa Ufipa st wanaelekea Dodoma kwenye Maridhiano
Nawaandalia Posho zao kea siku 4We ndiyo unachapa barua?
Toka umepanda cheo kutoka mhudumu hadi PS unasumbuaNawaandalia Posho zao kea siku 4
Amani utaipata Ufipa?We jamaa una roho mbaya sana. Mbona unaumia sana roho Chadema wanapopata amani?