Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Waafrika hapa ndipo tulipo feli..Mungu keshatupa akili..mengine yapo ndani ya uwezo wetu..acha tuamue wenyewe...acheni kujitia uvivu wa akili.Mungu ataamua. Tumuachue....
Kwa dharau ya kutudhau wavuvi kama huyu mama hatatoa tamko lakuridhisha kwa dhuluma tuliofanyiwa wavuvi natoa wito kwa wavuvi tujitafakari tunavyo dharauliwa tufanye maamuzi magumu kwanini lisu kalipwa nimuhanga kama sisi wafugaji pia husikilizwa lakini sisi tuKwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka.
CCM ina wenyewe hii nayo itatamalaki.
Ugumu na ughali wa maisha itagusiwa sana pia.
Ufisadi wa wazi na kibabe nao utagusiwa sana.
Watu wa Kigoma, Tabora, Mwanza ,Shinyanga na Mkoa wa Mara mwaka 2025 mfanye tathimini kubwa sana na maamuzi magumu.
Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka.
CCM ina wenyewe hii nayo itatamalaki.
Ugumu na ughali wa maisha itagusiwa sana pia.
Ufisadi wa wazi na kibabe nao utagusiwa sana.
Watu wa Kigoma, Tabora, Mwanza ,Shinyanga na Mkoa wa Mara mwaka 2025 mfanye tathimini kubwa sana na maamuzi magumu.
Moderator kwanini mnawaacha hawa wakabila na wakanda waweke hizi mada kila siku
Anza na kuwanyamazisha wanaomchokonoa JPM. Huyu mwamba ukimdhihaki ujue umegusa sharubu la kanda ya ziwa na kanda zilizonufaika na miundombinu. Sasa we angalia Nape akiwa kwao katimia kejeli eti Mungu ameamua ugomvi wananchi wakapigwa na butwaa. Alivyojishtukia akawahamasisha wanaomkubali mama wanyoshe mkono juu watu wakamwangalia tu kama sanamu.Moderator kwanini mnawaacha hawa wakabila na wakanda waweke hizi mada kila siku?
Kigoma na Tabora ziondoe hawahusiki na hayo maugomvi yenu.
Eeh leo kanda pendwa imechachamaaa
Anza na kuwanyamazisha wanaomchokonoa JPM. Huyu mwamba ukimdhihaki ujue umegusa sharubu la kanda ya ziwa na kanda zilizonufaika na miundombinu. Sasa we angalia Nape akiwa kwao katimia kejeli eti Mungu ameamua ugomvi wananchi wakapigwa na butwaa. Alivyojishtukia akawahamasisha wanaomkubali mama wanyoshe mkono juu watu wakamwangalia tu kama sanamu.
Hapa umesema ukweli. Tuko pamojaAcha uongo kana kwamba video upiangalia pekee yako.
Halafu Kanda ya Ziwa Ni CHADEMA na CCM, Kama uchaguzi wa 2020 usingevurugwa majimbo baadhi ya Kanda ya Ziwa yangeenda CHADEMA Kama Musoma mjini na Gaita mjini na Bukoba Mjini.
Wanaziacha mada chonganishi, za kikabila hazifai,Moderator kwanini mnawaacha hawa wakabila na wakanda waweke hizi mada kila siku?
Ana roho ya kichawi sana,We jamaa una roho mbaya sana. Mbona unaumia sana roho Chadema wanapopata amani?
Ana roho ya kichawi sasa ni mtu mzima kati ya 55 na 65yrs
hayo tu Mwanza pekee Chadema ilikuwa na 40% madiwani 2015 na Vijiji 50% ?Acha uongo kana kwamba video upiangalia pekee yako.
Halafu Kanda ya Ziwa Ni CHADEMA na CCM, Kama uchaguzi wa 2020 usingevurugwa majimbo baadhi ya Kanda ya Ziwa yangeenda CHADEMA Kama Musoma mjini na Gaita mjini na Bukoba Mjini.
Aliwaathiri sana. Hiyo ndio mentality aliwarithishaWatu wanahubiri ukanda, tukisema mtu wao alivuruga umoja wa kitaifa wanakataa.
Kwanini masuala ya kupiga kura uyafanye kikanda?
Acha ukweli uwekwe wazi.Wafuasi wa Magufuli na siasa za kikanda
Hawa watu ni wajinga sana...Kanda ya ziwa wanapiga kura kama kanda?
Kura za nchi hii zinapigwa na mtu mmoja mmoja sio kanda wala kabila au dini.
Anyway vyovyorw vile mtakavypfanya CCM itashinda kwa kishindo 2025 mtake msitake
Uchawi unakusumbua.Aliwaathiri sana. Hiyo ndio mentality aliwarithisha
Usijumlishe watu wa kanda ya ziwa wote wewe fala, mapenzi yako kwa dhalim kwa vile ulikuwa mchepuko wake yasihudishe watu wote wa kanda ya ziwa. Koma kabisa. Mimi ni Msukuma lakini sijawahi kumkubali huyo Mhutu wako.Kwa mila na desturi za Kiafrika hata kama unamchukia mtu huwezi kufurahia kifo chake hata kidogo. Hii ya wanaCCM kufurahia kifo cha Hayati JPM ni agenda nzito. Hapa inatia mashaka.
CCM ina wenyewe hii nayo itatamalaki.
Ugumu na ughali wa maisha itagusiwa sana pia.
Ufisadi wa wazi na kibabe nao utagusiwa sana.
Watu wa Kigoma, Tabora, Mwanza ,Shinyanga na Mkoa wa Mara mwaka 2025 mfanye tathimini kubwa sana na maamuzi magumu.
Ni Mhutu pia.Huyo mzee humjui ni mtu wa visasi kama marehemu