Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

Upo sahihi. Tanzania tuna kitu tunaita shule ya uadilifu, ambayo kwa kiingereza inaitwa hivyo.

So jina nimelitoa huko
 
Jela za bongo bana kulala ni chini hapo hatujazungumzia mbu,chawa,ukurutu,chakula kibovu,mbata za nyapala na virungu vya mabwana jela na tabu zote hizo bado kuna mwengine anatamani kumfira mwenzake
 
Nafikiri jela ni all about freedom na sio uzuri wa chumba. Hata uwekwe kwenye apartment kubwa na la thamani kama huna freedom ni sawa tu na mfungwa na segerea.
Mkuu, mnfungwa wa Tanzania ukimwambia achague gereza la Segerea au Denmark atachagua wapi??
 
Siyo raha kama unavyofikiri.Kupata hivyo vitu lazima u obey regime,ukitaka kulala tu bila kujishughulisha na elimu au ajira za jela wanatoa TV usipobadilika unapelekwa block yaani jela ndani ya jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…