Luis 505
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 676
- 948
Erythrocyte unaona jela za Ulaya??
Nambie dear, habari za mbinguni? Malaika wanasemaje?Sawa my future. Nishafufuka tayari.
Malaika eti wanasema "wamekumissi" wanataka wakupe green card uungane na mimi huku kabla ya Pasaka.Nambie dear, habari za mbinguni? Malaika wanasemaje?
Niko tayariii.Malaika eti wanasema "wamekumissi" wanataka wakupe green card uungane na mimi huku kabla ya Pasaka.