Hizi ndio Jela za Ujerumani na Denmark?? Daaaah. Wanangu wa Mbagala, life isn't fair at all

Kwa kweli.
 
Hakuna mwenye dili la kupeleka sembe ujerumani wanangu....
 
Kero ya gereza ni uhuru na hasa ukiwa na malengo ya maisha yako.Mengi yanaharibika na kama una familia tegemea lolote kwa wife utakapomaliza kifungo
 
ngoja nikanywe konyagi niende sello kwangu ni pabaya kuliko hapo
 
Jela zetu ni kuzimu na jehanamu ukitoka bila maradhi shukuru. Ni pabaya balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…