Marejea visiwa vilivyoko ziwa Victoria zaidi sababu huko ndiko nilikokuwa enzi hizo.
Sijajua kwa Sasa kukoje sababu mpaka Sasa ni zaidi ya miaka 18 tangu nitoke.
1.Kuuza pombe kali na gongo kwa wavuvi
2.Kuuza madawa ya binafamu na kutoa tiiba kama vile kushona walevi waliopasuana sehemu za miili kwa vulugu
3.Kibanda umiza cha mpira na movie
4.Kuuza petrol na diesel hakukua na vitu vinaitwa solar tulitumia majenereta.
6.Ufundi wa kujenga mabanda kule hakukuwa na nyumba za udongo ni mabanda ya mabanzi ndo nyumba hivyo ukiwa mtaalamu unapiga pesa.
Mwisho bangi ni ilikiwa na soko sana na watu walikuwa wanauza tatizo hadi leo nikiwafatilia ni maskini wa kutupa. Pesa zote ziliishia kwenye starehe za pombe, malaya na bangi.
Hzio ndo fursa zilizokiwepo huko visiwani nb visiwa viko vingi ila vilikuwa vimepakana na sengerema.
Sasa sijui kama sikuizi vibe ni lile lile mana nyimbo za enzi hizo ni bob marley, zuku na nyimbo za kikongo .
BO ZA ENZI HIZO NI BOB MARLEY, ZUKU NA NYIMBO ZA KIKONGO .