kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Unaweza kuwa daktari ama Nurse bila mwalimu unayetaka kumaanisha!Unless utwambie hata madaktari ni walimu.Angalia mwanzo wa tiba ilikuwa nini?Ni kipaji tu kama muziki,halafu mwenye kipaji hicho aligeuka kuwa mwalimu ili arithishe maarifa hayo kwa vizazi vingine.Kwa maana nyingine daktari ni mwalimu pia.Mwanzilishi wa fani ya uuguzi alisukumwa na huruma na upendo wa kuhudumia wagonjwa na ndipo aliona upo umuhimu wa kuifanya kazi hii kama taaluma.Siyo matokeo ya elimu bali ya wito wa kutoa huduma kwa wagonjwa.Elimu imekuwa tu nyenzo ya kurahisisha uhifadhi na urithishaji wa maarifa hayo kwa wengine.Hata hivyo ualimu ni element ambayo imo katika taaluma zote
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums