Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

Hizi ndio kozi/taaluma za muhimu duniani

Unaweza kuwa daktari ama Nurse bila mwalimu unayetaka kumaanisha!Unless utwambie hata madaktari ni walimu.Angalia mwanzo wa tiba ilikuwa nini?Ni kipaji tu kama muziki,halafu mwenye kipaji hicho aligeuka kuwa mwalimu ili arithishe maarifa hayo kwa vizazi vingine.Kwa maana nyingine daktari ni mwalimu pia.Mwanzilishi wa fani ya uuguzi alisukumwa na huruma na upendo wa kuhudumia wagonjwa na ndipo aliona upo umuhimu wa kuifanya kazi hii kama taaluma.Siyo matokeo ya elimu bali ya wito wa kutoa huduma kwa wagonjwa.Elimu imekuwa tu nyenzo ya kurahisisha uhifadhi na urithishaji wa maarifa hayo kwa wengine.Hata hivyo ualimu ni element ambayo imo katika taaluma zote

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Nakubaliana na wewe ingawa kuna wengine wanataka EDUCATION nayo iwemo. Kiukweli education haiwezi kuwa muhimu kuliko engineering, law,medicine etc.

Asilimia kubwa ya wanaohitimu EDUCATION wanakuwa walimu wa olevel na Alevel, kazi ya hawa walimu ni kuwafundisha wanafunzi ili wafaulu, mhitimu yoyote wa olevel au Alevel anakuwa hana profession yoyote kwa hiyo ni vigumu sana kwa mhitimu huyu kuweza kutumika katika sector yoyote na akaweza kutatua matatizo yanayo hitaji professionalism ili yatatuliwe, na hapa umuhimu ndipo unapokuja!

Ili utatue matatizo makubwa yanayotokea katika jamii na duniani kwa ujumla lazima uwe professional,mfano jamii inahitaji isambaziwe maji kutoka ziwani ,mtu wa kwanza kusema inawezekana au haiwezekani ni engineer .Jamii inaumwa, atakayesema tiba ipo au haipo ni doctor. Hawa wote engineers na doctors wanapatikana kwa kufundishwa na engineers na doctors wenzao.
 
Mawazo ya ki- first year, na first - semester, ngoja ufike fourth year au uingie mtaani hutakuwa na mawazo kama haya utagundua kwamba mlinzi, shoe shiner au housgirl ni muhimu kuliko takataka hizo hapo juu
 
Without education course ?
engineering came before education,medicine came before education,engineering was a result of innovation na haikutokana na elimu,hata dawa awali ugunduzi ulitokana na uchunguzi na waliofanya hawakwenda darasani
 
wewe ya wezekana 1st yr au form six
kwani kila first year anatambulika kwa anachokiandika?inawezekana ni zaidi ya unavyompimia,kweli course zingine ni sionagi sana umhimu wake hata ikifutwa leo taifa linasonga
 
Watu wanasahau walipoanzia mapema mnoo.
wasijue ili kufikia taaluma fulani kuna mtu alishahangaika na wewe huku mwanzoni, tena kipindi wakati hata akili yako haijapevuka kuweza kutulia na kusoma kwa utulivu.
Kuna watu walishahangaika na wewe with hesabu, physics na chemistry na masomo mengine muhimu pia na nidhamu ili ufaulu na kuweza kufukuzia hizo taaluma zenu mnazojitambia nazo sasahivi.

Sioni jinsi gani mtu anafika kwenye profession bila kufaulu vizuri masomo ya awali. Na ili kufaulu vizuri masomo yako ya awali kuna team ya walimu ambao walifanya kazi yao ya ualimu sawasawa, kukujengea nidhamu na bidii ya kuwa na taaluma yako hii leo.
 
Nakubaliana na wewe ingawa kuna wengine wanataka EDUCATION nayo iwemo. Kiukweli education haiwezi kuwa muhimu kuliko engineering, law,medicine etc.

Asilimia kubwa ya wanaohitimu EDUCATION wanakuwa walimu wa olevel na Alevel, kazi ya hawa walimu ni kuwafundisha wanafunzi ili wafaulu, mhitimu yoyote wa olevel au Alevel anakuwa hana profession yoyote kwa hiyo ni vigumu sana kwa mhitimu huyu kuweza kutumika katika sector yoyote na akaweza kutatua matatizo yanayo hitaji professionalism ili yatatuliwe, na hapa umuhimu ndipo unapokuja!

Ili utatue matatizo makubwa yanayotokea katika jamii na duniani kwa ujumla lazima uwe professional,mfano jamii inahitaji isambaziwe maji kutoka ziwani ,mtu wa kwanza kusema inawezekana au haiwezekani ni engineer .Jamii inaumwa, atakayesema tiba ipo au haipo ni doctor. Hawa wote engineers na doctors wanapatikana kwa kufundishwa na engineers na doctors wenzao.
engineering is the first amazing thing in this world and it has transformed everything and engineering came first before this education we talk of ,engineering came under innovative ideas from uneducated people to particular innovations,hata kama walifundishwa kusoma na kuandika
 
Hivi una akili kweli wewe? hakuna chochote hapo bila Education.Hupati nesi bila mwalimu, daktar bila mwalimu, mhandisi bila mwalimu.Futa au ongeza education kwenye huo uzi vingnevyo nawambia walimu kuwa hawana umuhimu mashuleni, hivyo wagome mara moja.
tatizo watu hawaelewi kabisa,hata wewe umekurupuka na mawazo haya,mwalimu ni aliyesomea lakini kila mtu anaweza kufanya kazi ya kuelekeza hata kama si mwalimu, engineer ataelekeza wengine na watajua hata kama si mwalimu na ndio elimu ilianza vile wataalamu wa mwanzo hawakutokana na walimu ila walifanya jitihada zao za ugunduzi na waliitwa wanasayansi kila walipogundua kitu na wao ndio waliowaelekeza wengine na hata leo hayo yanafanyika,mfano wanasayansi wa ujerumani ndio walikuwa wa kwanza kufanya mapinduzi ya kemikali duniani wakati wa mapinduzi ya viwanda katika karne ya 19. ilibidi waingereza wawachukue wanasaynsi wa ujerumani wakaenda kuwafundisha waingereza wakati hawa hawakuwa walimu na wala hawakusomea ualimu,ama mwanasansi marehemu aliyeibadili dunia mr stive jobs mbona hakwenda hiyo shule na ugunduzi wake haukutokan n elimu popote duniani na wala haikuwepo lakini leo kuna walimu wanafundisha hiyo tekinolojia,je walifundishwa na nani kama si kuelekezwa na stive jobs mwenyewe na kusoma maelezo yake?na hapo hata maprofesa walirejea kujifunza na kusoma maelekezo ya mtu asiye na elimu ili wachote utaaalamu wakafundishe watu wengine
 
Ila ualimu ni kama laana flani vile.
 
Wakuu zifuatazo ni kozi za muhimu duniani hii ni kutokana na umuhimu wake ambazo ni 1.MEDICINE 2.ENGINEERING 3.LAW 4.NURSING 5.ECONOMICS 6.ACCOUNTS 7.VETERNARY MEDICINE 8.ARCHITECTURE

Wewe kazi muhimu ni ualimu. Bila mwalimu usingeliweza kuandika dharau yako hapa!
 
Watu wakisha pevuka kiakili wanasahau walikotoka bila mwalimu wa chekechea kukujengea msingi mzuri usingefika hapo acheni dharau mtakuwa na laana kichwani "MWALIMU" na sisitiza ndo kila kitu wanatofautiana ngazi.
 
Mawazo ya ki- first year, na first - semester, ngoja ufike fourth year au uingie mtaani hutakuwa na mawazo kama haya utagundua kwamba mlinzi, shoe shiner au housgirl ni muhimu kuliko takataka hizo hapo juu

duh umenichekesha sana mkuu ingawa ndo umenena kweli kabisa.mie pia kazi ninayoifanya sio ile niliyokuwa naipigia hesabu tangu sekondari.
 
Hivi una akili kweli wewe? hakuna chochote hapo bila Education.Hupati nesi bila mwalimu, daktar bila mwalimu, mhandisi bila mwalimu.Futa au ongeza education kwenye huo uzi vingnevyo nawambia walimu kuwa hawana umuhimu mashuleni, hivyo wagome mara moja.

Mwalimu naona unatokwa povu kisa hujaorodheshwa.....
Pole sana..
 
Back
Top Bottom