Labda alikuwa guarantee jamaa wakamuua🤣🤣🤣 Ah alikuwa anasukuma mzigo bwana ata pale kwetu kitaaa mie nilisukuma mzigo toka kwake ndio na mie kushika shika hela za maana. Mwana alinyongwa huko karachi...daah rip west is best😭😭😭😭
Ila hao wote kiboko yao marekani tuu. Akisema mfungwa ni us citizen atarudishwa marekani atarudishwa tuu. Wenzetu wanajali sana damu zao.Labda alikuwa guarantee jamaa wakamuua
Lakini ktk inchi za Asia ambazo waafrica waliizichezea Kwa kuingia na kutoka ni Pakistan..
Hawanyongi mkuu.
Ogopa sana hizo inchi
Bangladesh , Malaysia,Thailand hunyongwi ila SI chini ya miaka ndani 30 .
Hizo Singapore, Vietnam,, Saudi Arabia hapo usipachezee.
Hapo kitanzi au panga lazima..
Mkuu unafanya upotoshaji.Labda alikuwa guarantee jamaa wakamuua
Lakini ktk inchi za Asia ambazo waafrica waliizichezea Kwa kuingia na kutoka ni Pakistan..
Hawanyongi mkuu.
Ogopa sana hizo inchi
Bangladesh , Malaysia,Thailand hunyongwi ila SI chini ya miaka ndani 30 .
Hizo Singapore, Vietnam,, Saudi Arabia hapo usipachezee.
Hapo kitanzi au panga lazima..
Mkuu usisikilize maneno ya vijiweni.Mkuu bila shaka ww utakuwa na dunia yako kwa sheria za pakistani ukikamatwa na kuanzia kg 2 hukumu yake ni kifo.
Hayo mambo ya vijiweni mkuu,,Ila hao wote kiboko yao marekani tuu. Akisema mfungwa ni us citizen atarudishwa marekani atarudishwa tuu. Wenzetu wanajali sana damu zao.
Naongea Kwa experience sio kusikia.Mkuu unafanya upotoshaji.
Hapa tunaenda na takwimu kwa mujibu wa vyanzo zinavyo tambulika kimataifa na si kwa maoni yako.Mkuu mimi
Naongea Kwa experience sio kusikia.
Elewa neno experience..
Mimi nimeshaishi hizo inchi zote chafu chafu.
Mtu hanidanganyi chochote..
Nikikwambiya elewa bas mkuu.
Mkuu hakuna haja ya kubishana simu unayo nenda goorge kaasachi ni makosa gani ambayo hukumu yake ni kifo nchini pakistani tuone kama kosa la usafirishaji wa dawa za kulevya.Mkuu usisikilize maneno ya vijiweni.
Usitake nimwage mtama kwenye kuku wengi.
Ila elewa naongea through experience.
Hzo inchi ndy balaa sana.
Hayo mambo ya vijiweni mkuu,,
Nenda Thailand huko wamawekani kibao jela .
Ila balozi zao wanawasimamia na kuomba raia wao wakamalizie kifungo kwao
Hyo ni baada ya kutumikia nusu ya kifungo chao..
Inchi nyingi za ulaya pia wanafanya hivyo.
Mfano France,nk
Sikiliza mkuu,,Hapa tunaenda na takwimu kwa mujibu wa vyanzo zinavyo tambulika kimataifa na si kwa maoni yako.
Ww kuishi kwenye nchi hizo haimaanishi kuwa unazijua sheria za nchi hiyo maana kuna watz kibao ambao hawajui sheria zinazo ongoza nchi yao.
Kwanza ulipo sema eti Iran na China hazinyongi wauza madawa hali ya kuwa ndo nchi zinazo ongoza kwa unyongaji ndo umejidhihirisha ya kwamba unaongea mambo kutoka kichwani mwako.
Nchi kuwa na adhabu ya kifo kuhusu kosa fulani haimaanishi kwamba wote watakao fanya kosa hilo basi watapewa adhabu ya kifo bali hukumu hutokana na jinsi lilivyo fanyika na uzito wa kosa husika.
Iran inanyonga wauza madawa lakini ni mpaka ukamatwe na kiasi kuanzia nusu kilo, china inanyonga wauza madawa lakini ni mpaka ukamatwe na kiasi cha kuanzia kilo moja ukikamatwa na chini ya hapo unahukumiwa kwenda jera.
Tanzania ina hukumu ya kifo kwa mtu anaye fanya mauaji lakini haimaanishi kuwa kila mtu atakaye uwa atahukumiwa kifo bali hukumu itatokana na mazingira ya mauaji.
Marekani na Iran Wana vizasi vyao, toka zamani.Aliye kwambia nani Iran imesha nyonga wamarekani kibao.
Indonesia ni kitanzi,Wa Nigetia kibao wamenyongwa IndonesiaKwenye list yako Iran mtoe hapo,
Nchi nuksi Kwa kunyonga ni
A-vietnam
-singapore.
-saud Arabia - KITANZI.
B -Malaysia
- Indonesia
- China
- Japan
- Iran
-Sri Lanka
-Bangladesh
Kifungo si chini ya miaka 20 ila hawanyongi Wala hawafungi maisha..
Kwa Africa Tanzania inaogopeka sana Kwa kufunga kifungo kirefu kuliko inchi yeyote Africa..
Tanzania ndy inchi pekee Africa inafunga maisha..
Dunia kote popote kwenye rushwa i hii biashara haifii.Hii biashara nchi zote inamilikiwa na viongozi wa serilaki.
Ukitaka kuamini, Tizama sasa hivi mateja kibao kila kona hawoni shida kwasababu wao ndo supplier.
Ikitaka kuwasikia Serikali wana kazi, wasikie kuna supplier mpya kaingia mjini, au naye ana supply kwenye soko lao.
Hizo operation za kumtafuta huyo supplier hazitakuwa ndogo, na akikamatwa wanatulia tena.
Tena hao gougle ndy waongo namba Moja,Mkuu hakuna haja ya kubishana simu unayo nenda goorge kaasachi ni makosa gani ambayo hukumu yake ni kifo nchini pakistani tuone kama kosa la usafirishaji wa dawa za kulevya.
Mkuu nadhani ww ndo unaongea mambo kwa mujibu wa maneno ya vijiweni.
Hapo ni kwl hapafaiI
Indonesia ni kitanzi,Wa Nigetia kibao wamenyongwa Indonesia
Pasi mingi na motema Papaa ya Bana!Eric Mandala..
ngiri, ngiri, ngiri.
na keyi, na keyi, na keyi
Ee eh eh eh eheeeee.!!