Hizi ndio nchi ambazo ukikamatwa na madawa ya kulevya hutoboi hata kwa dawa

Yaani Rizone abebe sembe kama punda kwenda china??? Story za vijiweni
 
Tatizo ukibambikiwa inakula kwako, hatari ya nchi kama hizi unaweza ukanyanyaswa sana na wana usalama, wanakutishia usipowapa hongo wanakubambikia, vitaifa kama Iran ni vya kuogopwa.
 
Kabisa mkuu..
 
Hizo Nchi sheria ni kali kwa Wananchi na wageni ila Wakubwa wao ndio wanafanya hizo bussness na zinawainhizia pesa nyingi mno.
 
Huu unaweza kuwa ukweli, unamuona Mla unga harafu hunasema unapambana na madawa miaka 10 hujawakamat😅😅
 
Tatizo ukibambikiwa inakula kwako, hatari ya nchi kama hizi unaweza ukanyanyaswa sana na wana usalama, wanakutishia usipowapa hongo wanakubambikia, vitaifa kama Iran ni vya kuogopwa.
Dunia haijawahi kuwa na haki ,niliwahi kusikia stori ya Mfanyakazi wa ndani(house girl) alibambikiwa mzigo na boss wake bila ya yeye kujua ...Alikuwa nchi za Gulf huko .

Inawezekana yule mkenya yamemkuta yale yale ,unabeba mzigo haujui chochote.
 
IRAN itoe hapo,,watu kibao wamekamatwa na kupata kifungo chini ya miaka 15 na kuachiwa ,wapo hapa tanzania wanadunda mitaani.

Kwenye list yako sijaona Tanzania ambayo ndy inchi inayoongoza kwa kufunga watu wa madawa kifungo kirefu au kifungo cha maisha gerezani,
Huku ikiwaacha mafisadi na wabadhirifu wa Mali za umma wakiendelea kudunda mitaani..

Watanzania sijuwi tumerogwa na nani AISEE.
 
Achaneni na Stori za kutunga,Yaani kabisa Riz1 abebe sembe yeye mwenyewe?Inaweza ikawa kweli ni Supplier lakini kwa akili ya kawaida Baba wakati ule ni number 1,Yeye abebe mzigo mwenyewe kweli?
Hii mwenyewe nilikataa kabisa Riz 1 kuna mambo mengi alisingiziwa ila kumiliki aridhi ni noma huyo buana rizi
 
Hata Pakistan ni kati ya nchi yenye mtandao mkubwa wa usambazaji wa ngada.
Kuna wa Pakistan kibao wana yard za magari sana bongo ila najua ni zuga sana hiyo
 
🤣🤣🤣 Ah alikuwa anasukuma mzigo bwana ata pale kwetu kitaaa mie nilisukuma mzigo toka kwake ndio na mie kushika shika hela za maana. Mwana alinyongwa huko karachi...daah rip west is best😭😭😭😭
Leta Conection hizo au umeacha
 
100%
 
Bongo raha sana, Mkuu wilaya aliyeshitakiwa, kwa, ufiraji, anashinda kesi kimagumashi, anatenguliwa, baada ya muda anateuliwa, kugombea ubunge!
 
Kwa Iran na Saudia hayo uyasemayo ni kweli kinadharia tu lakini ‘wasafiri’ wenzangu obviously wanafahamu kinyume kabisa na maelezo yako, it’s always a very big gamble lakini chances za kutoboa zipo sana tu. Kuna Iranian Mafia ni organization kubwa na very powerful hawashindwi kusawazisha situation pale mambo yanapoharibika na wamesambaa dunia nzima hata TZ wapo.
 
Ila hao wote kiboko yao marekani tuu. Akisema mfungwa ni us citizen atarudishwa marekani atarudishwa tuu. Wenzetu wanajali sana damu zao.
Wamarekani kibao wanafungwa huko ila baada ya American embassy kupata taarifa,
watakuja wataweka lawyer wa maana halafu Kuna kipengele cha kumchukuwa mtuhumiwa na kumaliza kifungo Marekani..
Huko utafungwa Kwa Sheria za Marekani kifungo kidogo sn..
Kama embassy haina taarifa za kukamatwa kwako ,
unapotea kwl jela hata kama ni American citizen.
 
Korea walifanyaje kumaliza madawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…