Hizi ndio nchi ambazo Watu wake hawana Furaha duniani, Tanzania ipo

Hizi ndio nchi ambazo Watu wake hawana Furaha duniani, Tanzania ipo

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
122. Togo
123. Jordan
124. Ethiopia
125. Liberia
126. India
127. Madagascar
128. Zambia
129. Tanzania
130. Comoros
131. Malawi
132. Botswana
133. DR Congo
134. Zimbabwe
135. Sierra Leone
136. Lebanon
137. Afghanistan
 
122. Togo
123. Jordan
124. Ethiopia
125. Liberia
126. India
127. Madagascar
128. Zambia
129. Tanzania
130. Comoros
131. Malawi
132. Botswana
133. DR Congo
134. Zimbabwe
135. Sierra Leone
136. Lebanon
137. Afghanistan
Hata Mimi ningeshangaa endapo kama Tanzania ingekosekana kwenye hiyo orodha. Na kwa vyovyote vile, orodha hiyo yote ingekuwa BATILI endapo kama Tanzania isingekuwepo.
 
Kwahi hi ni taarifa ya mwaka gani maana niliwai ona tz ikiwa kwenye 10 Bora je hi ndo hio au
 
Yaani Palestina haimo? Wakati raia wake muda wowote huweza kufa! Hasa watoto, wanawake.

palestina siyo nchi, nchi ni israeli inayotambulika kimataifa na hata un, watu wa palestina ni stateless inasikitisha lkn ndiyo ukweli wenyewe …
 
Majirani zetu siawaoni jamani hata wa kwa kaguta wametupita?
 
Burundi, Sudani ?

Hii furaha huwa ni political satisfaction? Huwa naona nchi za Scandinavia huwa zinaongoza.
 
Hebu itoe Tanzania hapo,

Tanzania ni nchi yenye furaha sana tu. tofauti na nchi nyingi Duniani.

Tatizo lenu hata mkiteswa na mapenzi mnalaumu nchi kumbe ni wewe ukijikanyaga.

Gari lako likila mzinga unataka Tanzania ikulipe wakati hata bima kubwa huna.

Mtu unadaiwa mikopo uliyokopa mwenyewe huku vigezo na mashariti ukiwa ulisoma na kuelewa vizuri bado utalaumu nchi.

Ishini maisha yenu mtafurahi hadi mnaingia kaburini.
 
Back
Top Bottom