Hizi ndio nchi kumi Afrika zenye uwezo mkubwa wa kijeshi

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,971
Reaction score
14,538
Habari zenu ndugu zangu wakubwa kwa wadogo.

Leo nimeangalia katika BBC Swahili nikakutana na list ya nchi kumi za Afrika zenye uwezo mkubwa kijeshi.

Ki ukweli hii list imenishangaza kuona baadhi ya nchi ambazo zimeshindwa hata kuleta amani au hata kutuliza hali ya usalama katika nchi zao zikishika nafasi ya nchi zenye uwezo wa kijeshi huku nchi zinazoonekana kuwa imara, mahiri na zenye uwezo halisi wa kijeshi zikikosekana katika list.

Mfano wa nchi hizo ni Tanzania, Botswana, Rwanda nk. List ya nchi hizo zinazosemekana kuwa zina uwezo wa kijeshi ni hii

1) Misri
(2) Algeria
(3) South Africa
(4) Nigeria
(5) Ethiopia
(6) Angola
(7) Morocco
(8) Sudan
(9) Democrat Republic of Congo
(10) Libya.
 
Inawezekana neno 'uwezo mkubwa' labda limekuwa gumu kwako...
  • Ukubwa wa bajeti ya jeshi
  • Ukubwa wa jeshi (idadi ya wanajeshi)
  • Ukisasa wa jeshi (Vifaa na utaalam/intelijensia)
Hayo ndio walau mambo matatu yanayoweza amua uwezo wa jeshi...
 
Habari zenu ndugu zangu wakubwa kwa wadogo.

Leo nimeangalia katika BBC Swahili nikakutana na list ya nchi kumi za Afrika zenye uwezo mkubwa kijeshi.

Ki ukweli hii list imenishangaza kuona baadhi ya nchi ambazo zimeshindwa hata kuleta amani au hata kutuliza hali ya usalama katika nchi zao zikishika nafasi ya nchi zenye uwezo wa kijeshi huku nchi zinazoonekana kuwa imara, mahiri na zenye uwezo halisi wa kijeshi zikikosekana katika list.

Mfano wa nchi hizo ni Tanzania, Botswana, Rwanda nk. List ya nchi hizo zinazosemekana kuwa zina uwezo wa kijeshi ni hii

1) Misri
(2) Algeria
(3) South Africa
(4) Nigeria
(5) Ethiopia
(6) Angola
(7) Morocco
(8) Sudan
(9) Democrat Republic of Congo
(10) Libya.
sijajua kigezo gani kimetumika kumuweka DRC kwenye list
 
Yah tena eti imeshika nafasi ya tisa mbele ya Libya.
 
Inawezekana neno 'uwezo mkubwa' labda limekuwa gumu kwako...

  • Bajeti ya jeshi
  • Ukubwa wa jeshi
  • Ukisasa wa jeshi (Vifaa na utaalam)

Hayo ndio walau mambo matatu yanayoweza amua uwezo wa jeshi
Labda hapo kwenye ukubwa wa jeshi lkn kwa ukisasa na bajeti sizani kama Congo wanatushinda.
 
Habari zenu ndugu zangu wakubwa kwa wadogo.

Leo nimeangalia katika BBC Swahili nikakutana na list ya nchi kumi za Afrika zenye uwezo mkubwa kijeshi.

Ki ukweli hii list imenishangaza kuona baadhi ya nchi ambazo zimeshindwa hata kuleta amani au hata kutuliza hali ya usalama katika nchi zao zikishika nafasi ya nchi zenye uwezo wa kijeshi huku nchi zinazoonekana kuwa imara, mahiri na zenye uwezo halisi wa kijeshi zikikosekana katika list.

Mfano wa nchi hizo ni Tanzania, Botswana, Rwanda nk. List ya nchi hizo zinazosemekana kuwa zina uwezo wa kijeshi ni hii

1) Misri
(2) Algeria
(3) South Africa
(4) Nigeria
(5) Ethiopia
(6) Angola
(7) Morocco
(8) Sudan
(9) Democrat Republic of Congo
(10) Libya.
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Boko Haram imeitesa Nigeria mwaka wa ngapi huu?
Ethiopia ilipambana na kajikabila kamoja ikasalimu amri Sasa hivi hicho kijikabila kimekua nchi huru.
DRC ipi unayoongelea wewe?
 
Ubora wa jeshi unatokana na ubora wa intlijensia ya jeshi na idara ya usalama.
Ilo uwe na intelijensia bora lazima uwe na vifaa vya kutafutia hizo intel. Vifaa ni pesa ndio maana ukiangalia hapo kwenye orodha hiyo nchi nyingi zimetupita kiuchumi so obvious lazima wawe na bajeti kubwa ya jeshi/ukusanyaji wa intel.

Lakini sometimes ubora hutokana na naturw ya watu wenyewe. Eg Personal inteligence inaweza changia ubora wa jeshi ndio maana Massad/IDF wanashikda mbbali mataifa mengi kwakua wali watu nature yao wana akili mingi sana za uvumbuzi wa vitu. Huwezi kua na jeshi imara kama jeshini umejaza mbululaz na vilaza..

Bu I believe in Tanzania People's Defense Force[emoji110]
Kama hiyo ndio sababu basi Congo hii list haiwahusu, Nigeria [emoji1184] huko boko haraam wanawanyanyasa wanavyojiskia.
 
Ubora wa jeshi unatokana na ubora wa intlijensia ya jeshi na idara ya usalama.
Ilo uwe na intelijensia bora lazima uwe na vifaa vya kutafutia hizo intel. Vifaa ni pesa ndio maana ukiangalia hapo kwenye orodha hiyo nchi nyingi zimetupita kiuchumi so obvious lazima wawe na bajeti kubwa ya jeshi/ukusanyaji wa intel.

Lakini sometimes ubora hutokana na naturw ya watu wenyewe. Eg Personal inteligence inaweza changia ubora wa jeshi ndio maana Massad/IDF wanashikda mbbali mataifa mengi kwakua wali watu nature yao wana akili mingi sana za uvumbuzi wa vitu. Huwezi kua na jeshi imara kama jeshini umejaza mbululaz na vilaza..

Bu I believe in Tanzania People's Defense Force✊
Hivi Congo ina intelijensia kubwa kuliko Tanzania, Kenya, Rwanda na nchi zingine ambazo hazipo kwenye list? Kama wana intelijensia kubwa kama hiyo unayoongelea mbona wameshindwa kuleta amani au kutambua mahali yalipo makundi ya wanamgambo kwa zaidi ya miaka 20 sasa? Hata M23 imesambaratika baada ya majeshi ya Tanzania kupelekwa Congo kupambana nayo.
 
Back
Top Bottom