Hizi ndio nchi kumi Afrika zenye uwezo mkubwa wa kijeshi

Akili za kuambiwa changanya na zako.
Boko Haram imeitesa Nigeria mwaka wa ngapi huu?
Ethiopia ilipambana na kajikabila kamoja ikasalimu amri Sasa hivi hicho kijikabila kimekua nchi huru.
DRC ipi unayoongelea wewe?
Mkuu hao wengine nakubaliana na wewe lakini Ethiopia wanajeshi imara sana kupita unavyofikiria, Ile nchi bila jeshi imara haiwezi ku-exist kwasababu kila kabila linataka kujitawala na lina mamlaka yake ikiwemo kuruhusiwa kuwa na jeshi lao binafsi.

Eritrea kuweza kujitenga kuna historia ndefu ndani yake ( Afwerki na Zenawi wote ni kabila (Tigray) moja na wote walikuwa kikundi kimoja cha kuipindua serikali ya Mengistu (TPLF) walizinguana tu baadhi ya terms ndiyo kusuluhisha Afwerki akapewa Eritrea).

Kumbuka hii nchi imeshawahi kuzichapa karibia majirani zake wote na haijawahi kunyoosha mikono juu. Hujiulizi kwanini Misri anajiuliza mara mbilimbili kuivamia kijeshi kuhusu mzozo wa Bwawa la umeme?
 
Naona ninyi mume izarau DRC kabisa
Mimi ni mkongo
DRC ni powerful country kufatana na vifaa vya vita wanavyo miliki and nguvu ya kijeshi
Na kingine
Vita vinavyo pigana Congo usifikiri vitaisha kirahisi ivo maana kuna mataifa makubwa wanao tumia wa Congo wenyewe kupigana wao kwa wao

Na kingine TZ ninyi ni wadogo zetu
Tume toka sehemu moja tuna tabia moja
And watu wengi wa kubwa wa kubwa katika inch yenu wengi ni wa Kongo
And trust Congo ikiwa free uchumi wa TZ utapanda zaidi ya apo ulipo
Na wa Congo wengi ndo wana ijenga TZ ninyi kataheni tu Ila huu ndo ukweli

Ila sorry kwa Kiswahili changu maana kuongeya na jaribu kuandika ndo kazi
 
Source please???, huwezi kuleta hapa ishu nyeti km hiyo bila Source.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…