Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Kama za dai kabla sijausikiliza nikisikia ametoa wimbo tuu naanza kuupenda
 
Sasa kama hizo zote ni mbaya zipi ni nzuri?
 
Naangalia radha kwanza,mashairi sizingatii maana hata dovido anaimba kinigeria ambacho sikijui ila huwa napenda radha yake.
Kwanza uko kidato cha ngapi maana ndio mnasumbua humu.Pili wimbo hata huujui jina lakini tayari umekurupuka kupost ungetulia uwe na ABC's ya nyimbo zote then ndio ungepost.
 
Huyu itakuwa amezoea kusikiliza wimbo wa taifa na sio nyimbo za wasanii
 
Acha maneno weka muziki..... blaah blaah sitaki kusikia [emoji443][emoji444][emoji445][emoji441][emoji442][emoji449][emoji450][emoji446][emoji448][emoji447][emoji343][emoji397][emoji331][emoji342]
 
Hao wote walichanganywa na MUZIKI ya Darrasa ndio mana wamepuyanga
 
Hivi ile hela ni kweli Madee ndo kaachia ngoja mpya au ni behind the scene? mi bado nasubiri ngoma original labda ina afadhali, waya sijui ni ule wenye kutu! Ama Darasa kawapanikisha wakaachia kabla hawajaweka mambo sawa.
 
Kwa kuwa alichanwa sana domo na ww ukaupenda kisa kachanwa domo....akili hizi
 
Nyimbo mbovu kupita zote ni kajiandae na kokoro kwa kweli hawa wenye izi nyimbo walikurupuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…