Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Kama za dai kabla sijausikiliza nikisikia ametoa wimbo tuu naanza kuupenda
 
Sasa kama hizo zote ni mbaya zipi ni nzuri?
 
Naangalia radha kwanza,mashairi sizingatii maana hata dovido anaimba kinigeria ambacho sikijui ila huwa napenda radha yake.
Kwanza uko kidato cha ngapi maana ndio mnasumbua humu.Pili wimbo hata huujui jina lakini tayari umekurupuka kupost ungetulia uwe na ABC's ya nyimbo zote then ndio ungepost.
 
Huyu itakuwa amezoea kusikiliza wimbo wa taifa na sio nyimbo za wasanii
 
Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).

1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya

Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako

NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
Acha maneno weka muziki..... blaah blaah sitaki kusikia [emoji443][emoji444][emoji445][emoji441][emoji442][emoji449][emoji450][emoji446][emoji448][emoji447][emoji343][emoji397][emoji331][emoji342]
 
Hao wote walichanganywa na MUZIKI ya Darrasa ndio mana wamepuyanga
 
Hivi ile hela ni kweli Madee ndo kaachia ngoja mpya au ni behind the scene? mi bado nasubiri ngoma original labda ina afadhali, waya sijui ni ule wenye kutu! Ama Darasa kawapanikisha wakaachia kabla hawajaweka mambo sawa.
 
nakupinga kwenye nusu yako moja.
Muziki wa darasa kachanwa sana 'Domo'.....lazima iwe nyimbo nzuri sana kwangu. na anshukuru watanzania woote wameipenda na kuikubali.
Moyo Mashine wa Ben Pol a.k.a Ben Mashine........kama hauuelewi wimbo huu, basi wewe hujui Muziki.
Alafu, ally kiba ni vocalist bora kuliko wote kwa wanaume......hakoseagi.
Kwa kuwa alichanwa sana domo na ww ukaupenda kisa kachanwa domo....akili hizi
 
Nyimbo mbovu kupita zote ni kajiandae na kokoro kwa kweli hawa wenye izi nyimbo walikurupuka
 
Back
Top Bottom