Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza uko kidato cha ngapi maana ndio mnasumbua humu.Pili wimbo hata huujui jina lakini tayari umekurupuka kupost ungetulia uwe na ABC's ya nyimbo zote then ndio ungepost.Naangalia radha kwanza,mashairi sizingatii maana hata dovido anaimba kinigeria ambacho sikijui ila huwa napenda radha yake.
We jamaa nadhani utakuw mpenzi wa taarabuHizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Mi unaponikera huu wimbo ni pale inapovunja rekodi ya Africa tu.ila hii ya merry me ya mond kimeo aise ni mbaya sana.
Acha maneno weka muziki..... blaah blaah sitaki kusikia [emoji443][emoji444][emoji445][emoji441][emoji442][emoji449][emoji450][emoji446][emoji448][emoji447][emoji343][emoji397][emoji331][emoji342]Habari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).
1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako
NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
Ama Kweli mchawi sio lazima awe na tunguri..Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
ongeza kokoro..salome...na natafuta kiki.Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Perfect,Aje ya alikiba pia inabebwa na media
Kwa kuwa alichanwa sana domo na ww ukaupenda kisa kachanwa domo....akili hizinakupinga kwenye nusu yako moja.
Muziki wa darasa kachanwa sana 'Domo'.....lazima iwe nyimbo nzuri sana kwangu. na anshukuru watanzania woote wameipenda na kuikubali.
Moyo Mashine wa Ben Pol a.k.a Ben Mashine........kama hauuelewi wimbo huu, basi wewe hujui Muziki.
Alafu, ally kiba ni vocalist bora kuliko wote kwa wanaume......hakoseagi.