Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Kuna wasanii wanatoa nyimbo lakini hata wao wenyewe wanashindwa kusikiliza halafu wanataka sisi ndo tuzipende. Kama hiyo Yono sijui kama Dully anaweza kukaa geto akaisikiliza
[emoji2] [emoji2] [emoji2] hii kiboko
 
Mie wimbo WA phone WA benpol sijaupenda!una mashairi mepesi sana!!,,'na maneno common mno!mf.'unachokitafuta utakipata'',,dm ,inbobow(ilivyotamkwa hainogi kabisa'!)yaani hata ukijaribu kuangalia maana haswa ya huu wimbo haiwezi vutia watu wote.
Wimbo mwingine ambao umepewa airtime ya utosha ila mbovu ni Wa joh makini WA waya,give it to me,
Moja ya wimbo wangu nlioukubali kwa 2016 ni WA linah WA malkia wangu WA nguvu
 
Hainaga ushemeji haieleweki kabisa.

Chorus anazungumzia mapenzi kwenye verse anazungumzia nguo za mitumba na jinsi anavyoulamba
 
kama hujaielewa hata waya ambayo legendary wa hiphop (fid q) ameusifia basi endelea kusikiliza singel

Kwani fid q ndio nan mpaka akuteke fikra na akili zako upende anachopenda yeye? Mungu amekupa akili ya kupambanua mambo acha kuwa mtumwa wa fikra za wengine "OVER"
 
Kwani fid q ndio nan mpaka akuteke fikra na akili zako upende anachopenda yeye? Mungu amekupa akili ya kupambanua mambo acha kuwa mtumwa wa fikra za wengine "OVER"
Ama gona lachaa gona laacha [emoji23][emoji23][emoji23]sjui alkua anataka kumaanisha nn hapa...... Au altaka kwenda kiraracha NN
Asee ngoma ni mbayaa uwiiii af kideo kimekula ela ya KUTOSHA [emoji56][emoji56][emoji56]
 
Mbaya mnoo,tatizo anajiona jay z kweli.fake rapper.
 
Hater!
 
Alikiba vocalist bora kwako mi wangu baranba ukisema kuliko wote sijui umeangalia vigezo vipi au umejishauri na akili yako
 
Hivi ile hela ni kweli Madee ndo kaachia ngoja mpya au ni behind the scene? mi bado nasubiri ngoma original labda ina afadhali, waya sijui ni ule wenye kutu! Ama Darasa kawapanikisha wakaachia kabla hawajaweka mambo sawa.
Mambo vipi madam
 
Kwani fid q ndio nan mpaka akuteke fikra na akili zako upende anachopenda yeye? Mungu amekupa akili ya kupambanua mambo acha kuwa mtumwa wa fikra za wengine "OVER"
Yaani huyu kanishangaza hata mimi
 
Binadamu hatuwezi kufanana kamwe...ndio maana unaweza kwenda kwa Masela kumi huku una picha ya Zari huku ya Mama Solomonii...ukawauliza yupi bomba na usishangae wapo watakaoruka na Mama Solomonii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…