Hizi ndio nyimbo mbovu ila zinabebwa na media

Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Khaaa! Naheshimu maoni yako mkuu
 
tena huyo chege yy mwenyewe anabebwa sana tangu wanaume family ife mm sioni anachoimba kwa kweli
 
Wimbo wa belle 9 hamna kitu ushapigwa sana clouds lakin bure..
Mbona mwenzake dito katoa nyimbo siku y kwanza tu kuskiliza nkaipenda na saiv inashka namb 1 top 10
Yani mkuu hapo umepatia, wimbo wa belle 9 mbovu kinoma na video yake ya kishamba ila promo nyingi
 
Hizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.

1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
Moyoni umejaa utimu mondi sio bure
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…