juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,467
- Thread starter
- #161
Hujui muziki mzuriAY ft Nyashinski new bonge la hit...Yono dully nayo kali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui muziki mzuriAY ft Nyashinski new bonge la hit...Yono dully nayo kali
Mi kila nikilazimisha nashindwaHuu WA mond na Neyo najaribu hata kuusikiliza kiuzalendo lkn bado tu... In short diamond graph imeanza kushuka
Kwel kabisaHuu WA mond na Neyo najaribu hata kuusikiliza kiuzalendo lkn bado tu... In short diamond graph imeanza kushuka
Aiseee,we n mmilik halali WA hiyo midomo?Mbona hata sizijui!!
Khaaa! Naheshimu maoni yako mkuuHizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.
tena huyo chege yy mwenyewe anabebwa sana tangu wanaume family ife mm sioni anachoimba kwa kweliHabari wakuu,sio jambo jema kusema msanii fulani anabebwa,kwa kuwa msanii hawezi kutoa nyimbo zote mbovu bali kuna baadhi tu ya nyimbo mbovu atatoa.hizi ndio nyimbo mbovu za bongofleva ila zinabebwa na media(radio na tv).
1. Kijuso ya Rayvan na queen dalin
2. Waya ya Joh makini
3. Yono ya Dully sykes
4. Hela ya Madee
5. AY yupo a dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
6. CHEGE yupo na dada mmoja jina la wimbo silijui ila ni mpya
Hizo ndio zangu mbaya ila redioni zinapigwa sana ,ongezea na wewe za kwako
NB:kuupenda wimbo tumetofautiana,mimi mala ya kwanza nikisikia wimbo,basi hapohapo jibu linakuja,nisipoupenda hapo basi sitaupenda tena,ilas wengie jinsi wimbo unavopigwapigwa redioni anajikuta anaupenda(unakaririshwa hadi unakariri),
Umesema kweli kabisa.Huu WA mond na Neyo najaribu hata kuusikiliza kiuzalendo lkn bado tu... In short diamond graph imeanza kushuka
Sina uhakika.Aiseee,we n mmilik halali WA hiyo midomo?
Huyu Mungu WA Islael anaupendeleo aiseee.. Hhongera mkuu!!Sina uhakika.
Kumbe tupo wengi tusiomuelewa?tena huyo chege yy mwenyewe anabebwa sana tangu wanaume family ife mm sioni anachoimba kwa kweli
Yani mkuu hapo umepatia, wimbo wa belle 9 mbovu kinoma na video yake ya kishamba ila promo nyingiWimbo wa belle 9 hamna kitu ushapigwa sana clouds lakin bure..
Mbona mwenzake dito katoa nyimbo siku y kwanza tu kuskiliza nkaipenda na saiv inashka namb 1 top 10
Nilikuwa namheshim mshkaji sana ila huo waya wake umenifanya nimpuuze. Anaimba mambo ya ujinga kwa style za kijinga na kwa sauti na melody za kijingakama hujaielewa hata waya ambayo legendary wa hiphop (fid q) ameusifia basi endelea kusikiliza singel
We usifananishe kokoro na matakatakahzo zote hazpo kwa playlist yangu, kwa kuongezea tu [HASHTAG]#kokoro[/HASHTAG] ya richmavoco cjawah kuielewa yaan!
Moyoni umejaa utimu mondi sio bureHizi nyimbo hapa chini sijawahi kuzipenda,na kila nikijilazimisha kuzipenda bado moyo unagoma.
1.Aje =kiba
2.Muziki = Darasa.
3.Kajiandae = Dimpoz,kiba.
4.Hela =Madee.
5.Moyo mashine =Ben Pol.
6.Dume suruali = F.A.