Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Yaani nimecheka[emoji23][emoji23][emoji23]dugHuyo mpopo atampiga matukio time will tell..
Na hapo sio kulewa 24 tena, ni mwendo wa
kula unga kabisa kama nyoka
Wanaija sio watu wale asee[emoji57]
Mimi hata sijaona alipojiengua maana mumewe mtarajiwa ni mwanamuziki plus muigizaji bado yupo pale pale atupe sababu nyingineIla maisha bhn! vee ndio alikuwa icon ya wadada wengi kwenye tasnia kumbe zilikuw show off, ila mungu ambariki sana coz ameamua kujiengua kwa devil's kingdom
Amesema yeye ndio haumulipi sio mmeweMimi hata sijaona alipojiengua maana mumewe mtarajiwa ni mwanamuziki plus muigizaji bado yupo pale pale atupe sababu nyingine
Hiyo kuonesha onesha anataka kumuumiza jux,
Huyo rotimi mbona hata huwa hamkiss asee, hadi aibu!
Dada anajitahidi kutoa ulimi mrefu kama kinyonga ndo kwanza jamaa, kama anasikia kinyaa, we cheki clip zao utamuonea huruma vee...
Huyo mpopo kuna vihela anavila hapo vya bidada vikiisha anasepa kama spicy music wa dada ndi ndi ndi
Shisha umeiona au nayo haina shida Dina?
Kumbuka huyo Rotimi alikuwa na gf ambaye uhusiano wao ulikuwa public na walikuwa wote kwa miaka zaidi ya mitatu lakini still akamuacha so ngoja tuone. Mimi nawaza akiachika mtoto atakufaweee Kuna clip wanakiss kabisa na Rotim ana pesa kumzidi Vanessa hakuna kitu kama hicho nakataa aisee
Kumbuka huyo Rotimi alikuwa na gf ambaye uhusiano wao ulikuwa public na walikuwa wote kwa miaka zaidi ya mitatu lakini still akamuacha so ngoja tuone. Mimi nawaza akiachika mtoto atakufa
Wa west wako vizuri hiyo sekta na ndiyo maana uwa wanawaibia awanawake kirahisi
Kama kuachana na jux had kakana mzikiakiachana na rotimi asije kana uhai.kuachana kupo tu sio lazima ndoa
tumuombeeee bwana amtangulie..sio bwana yake rotimi ila bwana yesu maana waswahili nyiee doohKwa hiyo.... !
Hahaha zuchu ana kipaji ila ajaribu ku change zaidi asikomalie ya pwaniZuchu amesha kaa kwenye namba yake
Ni kama tukiwa darasani miaka ile kwenye debate inayosema money is everthing argue for or against?....ukiwa mdogo unajua ela ndo kila kitu ukishafika ukubwani unajua watu ndo kila kitu na sio elaKama Msanii kama Vanessa anasema muziki haumlipi... Vipi kuhusu wasanii wengine ambao tunaona kimafanikio huenda wasimfikie vanessa kwa sasa?