Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Hizi ndio sababu za Vanessa Mdee kuacha rasmi muziki

Mafanikio mema Vee. Uzuri ana elimu yake mfukoni na ni mtangazaji mzuri tu. Ajitahid asilale njaa
 
Ila maisha bhn! vee ndio alikuwa icon ya wadada wengi kwenye tasnia kumbe zilikuw show off, ila mungu ambariki sana coz ameamua kujiengua kwa devil's kingdom
Mimi hata sijaona alipojiengua maana mumewe mtarajiwa ni mwanamuziki plus muigizaji bado yupo pale pale atupe sababu nyingine
 
Hiyo kuonesha onesha anataka kumuumiza jux,

Huyo rotimi mbona hata huwa hamkiss asee, hadi aibu!

Dada anajitahidi kutoa ulimi mrefu kama kinyonga ndo kwanza jamaa, kama anasikia kinyaa, we cheki clip zao utamuonea huruma vee...

Huyo mpopo kuna vihela anavila hapo vya bidada vikiisha anasepa kama spicy music wa dada ndi ndi ndi

weee Kuna clip wanakiss kabisa na Rotim ana pesa kumzidi Vanessa hakuna kitu kama hicho nakataa aisee
 
Darmian kuna wanaume wanatreat vizuri sana wanawake hata kama hawawapendi au wanajua huyu sitamuoa au kuwa nae muda mrefu sasa ni rahisi kuwapenda na kuwaamin
Wa west wako vizuri hiyo sekta na ndiyo maana uwa wanawaibia awanawake kirahisi
 
weee Kuna clip wanakiss kabisa na Rotim ana pesa kumzidi Vanessa hakuna kitu kama hicho nakataa aisee
Kumbuka huyo Rotimi alikuwa na gf ambaye uhusiano wao ulikuwa public na walikuwa wote kwa miaka zaidi ya mitatu lakini still akamuacha so ngoja tuone. Mimi nawaza akiachika mtoto atakufa
 
Kumbuka huyo Rotimi alikuwa na gf ambaye uhusiano wao ulikuwa public na walikuwa wote kwa miaka zaidi ya mitatu lakini still akamuacha so ngoja tuone. Mimi nawaza akiachika mtoto atakufa

kuachana kupo tu sio lazima ndoa
 
nadhani kafanya uamuzi sahihi unajua kwenye maisha bwana ..ukiwa kijiweni na wana au washkaji utasemakila kitu na utasikia kila kitu ila ukishajifungia mlango ndo utajua kuwa nani pale kijiweni aliongea upuuzi na je wewe mwenywe umedanganya mangapi
 
ANGALIZO: asije lakini akamfuata mzee yusuph maana nayeye alisema anataka kuwa karibu na Mungu lakini gafla ndo hivi tenah anataka kurudi mjini
 
Kama Msanii kama Vanessa anasema muziki haumlipi... Vipi kuhusu wasanii wengine ambao tunaona kimafanikio huenda wasimfikie vanessa kwa sasa?
Ni kama tukiwa darasani miaka ile kwenye debate inayosema money is everthing argue for or against?....ukiwa mdogo unajua ela ndo kila kitu ukishafika ukubwani unajua watu ndo kila kitu na sio ela

kwahiyo kwa hapo jiongeze...msanii wako yule wa kuitwa sheshshsheeeta
 
Back
Top Bottom