Hizi ndio sababu zinazopelekea wanawake wa wazuri kukosa kuolewa na baadhi yao kujiuza

Yes upo sahihi Kwa upande wako Ila hakuna binadamu huwa anapenda maisha ya hovyo Kama kuwa mchipuko, au kudanga Malaya n.k ni hali ambazo zinampata MTU deu to the hidden secrets
Huoni kwamba wanawake wazuri kukosa wa kuwaoa ni suala binafsi pia?
 
wafia dini ni wavivu, ukisoma tu bandiko unaona hajafanya chunguzi yeyote

utaskia laana, mikosi, mapepo, umaskini, tabia(ukimuuliza imesababishwa na nini hajibu), ndo walivyo

na kwa vile wapo wengi, kila mtu ataendelea kuamini hivi
 
Yes upo sahihi Kwa upande wako Ila hakuna binadamu huwa anapenda maisha ya hovyo Kama kuwa mchipuko, au kudanga Malaya n.k ni hali ambazo zinampata MTU deu to the hidden secrets
Wanaodanga na kuwa malaya wengi wanajiendeza, yaani ni tabia tu mtu kaamua kuwa nayo, ni wavivu kutumia akili kufanya kazi ya kuwaingizia kipato. Wameamua kufata njia nyepesi ya kuuza miili yao.

Na wapo wengi tu wanapenda kuwa michepuko hawana hata hamu ya kuolewa.
Kwahiyo hilo ni suala binafsi maana wameamua waonkuwa hivyo.

Wanaojiuza kwaajili ya shida ni wachache..trust me.
 
Hili jambo la wanawake wenye mwonekano mzuri na umbo kukosa kuolewa na kuishia kuwa malaya lipo kiroho zaidi.

Kwanza ieleweke hivi sio wanawake wote wazuri hawana akili au ni Malaya Ila baadhi yao hawana akili na wameishia kuwa michupuko na Malaya.

Hipo hivi binadamu anapozaliwa huwa anapewa baadhi ya vitu Kama kipaji ,uzuri wa sura umbo ,akili za utambuzi wa mambo n.k

Sasa kile kitu ulichopewa na unapoanza kukitumia vibaya lazima utanyanganywa na hautokipata tena kirahisi.

Hivyo baadhi ya wanawake wazuri wanaonekana kuishi maisha magumu ila baadhi yao huo uzuri waliopewa walishautumia vibaya kutembea na wanaume za watu kuvunja ndoa za watu kuumiza wanaume ,kuwaibia n.k

Nahitimisha kuwa ukipewa kipaji, au uzuri ,pesa n.k hakikisha hivyo vitu unavitumia Kwa njia Chanya tofauti na hapo utanyanganywa .

Andiko hili nimefanya marejeo kupitia .

Familia yangu-
Wema sepetu na Chid Benz-
Diamond+
Alikiba+
Bill gate +
Jay z+
Bakhressa+
Je hii inahusiana pia na watu wanaotumia madaraka vibaya?
 
Wanaodanga na kuwa malaya wengi wanajiendeza, yaani ni tabia tu mtu kaamua kuwa nayo, ni wavivu kutumia akili kufanya kazi ya kuwaingizia kipato. Wameamua kufata njia nyepesi ya kuuza miili yao.

Na wapo wengi tu wanapenda kuwa michepuko hawana hata hamu ya kuolewa.
Kwahiyo hilo ni suala binafsi maana wameamua waonkuwa hivyo.

Wanaojiuza kwaajili ya shida ni wachache..trust me.
Yes haimaniishi kudanya lazima uwe hauna pesa hiyo hali uanzia ndani ya MTU then hii mada ili upate kuelewa kajifunze kuhusu subconscious mind utaelewa mambo mengi
 
wafia dini ni wavivu, ukisoma tu bandiko unaona hajafanya chunguzi yeyote

utaskia laana, mikosi, mapepo, umaskini, tabia(ukimuuliza imesababishwa na nini hajibu), ndo walivyo

na kwa vile wapo wengi, kila mtu ataendelea kuamini hivi
Ana ndoto za kuwa mwandishi kama kina robert heriel, tatizo ni kuleta mada ambazo hazina mashiko..au inawezekana zina mashiko lakini hajaweza kuweka kwenye mtiririko na uchambuzi unaoeleweka na kumvutia msomaji.
 
Nimetembea Sana , Usijipime Kwa loser jipime Kwa winner and take the loser as study case usione kitu amefanya mzungu na hakifai ukakiligalized that is damn shit.umakini ni muhimu.
wengine wanapenda ile attention kutoka kwa wanaume

wengine hawataki kufanya kazi ngumu

wengine wana terminal illnesses

wengine wamepitia manyanyaso mpaka wamepoteza ile self identity

niliangalia interview ya pornstar mmoja alisema ilikua ndoto yake kutoka utotoni kua sex worker
 
wafia dini ni wavivu, ukisoma tu bandiko unaona hajafanya chunguzi yeyote

utaskia laana, mikosi, mapepo, umaskini, tabia(ukimuuliza imesababishwa na nini hajibu), ndo walivyo

na kwa vile wapo wengi, kila mtu ataendelea kuamini hivi
Mambo ya imani ya mtu huwezi kuyaelewa ikiwa wewe ni mtu ambaye huna maarifa na dini kwanza ni utoto Sana Kuita watu wafia dini

Hii mada sijafanya reference kutoka katika bible au quruan Ila nimetumia life experience then you seem be garbage mind thinker
 
Yes haimaniishi kudanya lazima uwe hauna pesa hiyo hali uanzia ndani ya MTU then hii mada ili upate kuelewa kajifunze kuhusu subconscious mind utaelewa mambo mengi
Hakuna haja ya kusoma kitabu chochote ili kuielewa mada yako.
Kwanza inabidi utambue kwamba dunia imebadilika. Na mind za wanawake zimebadilika kama ambavyo za wanaume zimebadilika. Ndoa si kipaumbele tena kwenye dunia ya sasa.
mambo mengi hayapo kama ulivyoandika hapo. Yaani watu hawana tena mawazo ya kizamani.
Pia wanawake wazuri wanaoolewa wapo kila siku tunawaona.
Hao unawaowazungumzia kwamba ni wazuri hawajaolewa ni kwamba wameamua kuuonyesha uzuri wao wa mapambo na kujiweka uchi.
Haimaanishi kwamba wanawake wanaoolewa ni wale wabaya peke yao.
 
Mambo ya imani ya mtu huwezi kuyaelewa ikiwa wewe ni mtu ambaye huna maarifa na dini kwanza ni utoto Sana Kuita watu wafia dini

Hii mada sijafanya reference kutoka katika bible au quruan Ila nimetumia life experience then you seem be garbage mind thinker
upo sahihi hapo,

ila huwezi puuzia vigezo vingine na kutegemea vya dini tu

ndo maana watu wanaenda hospitali hawasali tu

godspeed.
 
Hakuna haja ya kusoma kitabu chochote ili kuielewa mada yako.
Kwanza inabidinutambue kwamba dunia imebadilika. Na mind za wanawake zimebadilika kama ambavyo za wanaume zimebadilika. Ndoa si kipaumbele tena kwenye dunia ya sasa.
mambo mengi hayapo kama ulivyoandika hapo. Yaani watu hawana tena mawazo ya kizamani.
Pia wanawake wazuri wanaoolewa wapo kila siku tunawaona.
Hao unawaowazungumzia kwamba ni wazuri hawajaolewa ni kwamba wameamua kuuonyesha uzuri wao wa mapambo na kujiweka uchi.
Haimaanishi kwamba wanawake wanaoolewa ni wale wabaya peke yao.
Soma ili uelewe sio ili ujibu nimetumia maneno Kama baadhi na sija generalized so I recommend to you to read about subconscious mind
 
upo sahihi hapo,

ila huwezi puuzia vigezo vingine na kutegemea vya dini tu

ndo maana watu wanaenda hospitali hawasali tu

godspeed.
Personally I'm muslim Ila huwa sidharau imani ya MTU maana imani yoyote ukiitumia positively itakupa matokeo.

As the same wewe ni atheist kuna namna unaamini either you bealive in nature au science so tuwe postive kuita watu wafia dini hai-sound powah
 
Back
Top Bottom