Baada ya pepo mmbaya kukatiza katika mahusiano mengi mwezi wa 9 na wa 10 hapo natumai wahanga wanaendelea vizuri ila ningependa tukumbushane mambo muhimu kidogo.
Wazee SI Units za mapenzi motomoto hapa mjini ni kama ifuatavyo:
1.Pesa,Penenge, Mpunga,
Ngawira, Mtonyo, Shekeli,
Mshiko.
2.Gari, Chombo, Usafiri, Mjapani, Mwamvuli wenye matairi.
3.Makazi ya kueleweka kuishi binadamu yenye facilities zote muhimu. Iwe Ghetto au Apartment but hakikisha kitu self-contained na hapachoshi kukaa.
Wanangu wote jitahidini tuishi humo. Najua wengi mlifeli katika maeneo hayo hapo juu ila turekebishe makosa. Watoi wa tao wote wanalenga humo na ni rahisi sana kumtia mipango akikuta uko katika mazingira hayo iwe ya muda mfupi au mrefu. Tuishi humo!!!
NB: Sio lazima uwe na vyote ila hakikisha usikose Unit namba 1! Huwa inasawazisha mikingamo yote... i call it filler!