Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Nikopeee kaka!!
 
Jambo lingine ni kwamba hio mishahara mnayotaja hapa huwa ni basic salary😀

Huyu mmoja anatamba analipwa 3m hio basic tu unakuja kuta katika hio 3m analipa income tax 800k Bado bodi wanataka 15% yao inapanda kadri mshahara unavyopanda

Bado chama,Bado bima ya afya, Bado pssf.

Kama huna per diem za hapa na pale huna tofauti na maticha🤣

Utakuwa umewazidi laki 1 2 3. Stress ziko pale pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…