Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Sema baadhi ndo wanaendaZa kutosha….
Wanakagua usalama makazini so muda mwingi wako field
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema baadhi ndo wanaendaZa kutosha….
Wanakagua usalama makazini so muda mwingi wako field
Hao mishahara Yao ni siri kuuAisee Luten kabisa😂
Mwifwa vijana huwa hawajielewi😀Kuna watu niliwaombea hii nafasi wakazingua kutohudhuria usaili..
siijuiVipi kuhusu office ya solicitor general?
Zamani walikuwa wanatumia scales za TGS. Naona wametengeneza scheme yao mpya na imepitishwa. Sidhani kama itakuwa na maajabu sana. Chukua TGS + 300,000/-Kwahy wakuu ndio mmesema hakuna anayejua mishahara ya shirika la utangazaji TBC
Kwahy labla tuseme hvZamani walikuwa wanatumia scales za TGS. Naona wametengeneza scheme yao mpya na imepitishwa. Sidhani kama itakuwa na maajabu sana. Chukua TGS + 300,000/-
Swali lako limekaa kisomi sana🫡Hivi polisi hawa wakiwango cha chini wanakula shilingi ngapi ? [emoji34][emoji34][emoji34]Si kwa makasiriko waliyonayo
Sijaulizia scale zao ila sio wanyonge maana wana allowances za nyumba n.kVipi kuhusu office ya solicitor general?
Upo sahihi mfano TGS A = TBCS 1Kwahy labla tuseme hv
TGS A = TBC 1
TGS B = TBC 2
TGS C = TBC 3
Na kuendelea?
Upo sahihi mfano TGS A = TBCS 1
Kama TGS A (550,000) = TBCS 1 (850,000), Ongezeko kama 300,000
Mtu mwenye diploma hapo TBC anaweza kuvuta sh ngapiTBC wanaposho nzuri, mishara basic kawaida kama mashirika mengine ila posho somehow wako poa
Mh ila hy TBCS 1 & 2 naona mara nyingi inatumika kwa certificates.Upo sahihi mfano TGS A = TBCS 1
Kama TGS A (550,000) = TBCS 1 (850,000), Ongezeko kama 300,000
Duh diploma anakunja 800+k take home, aisee em ngoja niendelee kupambana mana nlichosomea naweza kuajiriwa TBC tuu 😂Basic 1.1m ukikatwa inaenda 800+k haifiki 900k, then wana extra duty basi yan kifupi diploma ni 1.5m+
Jaribu pia Wasafi TV, Zamarad, Crown na AzamDuh diploma anakunja 800+k take home, aisee em ngoja niendelee kupambana mana nlichosomea naweza kuajiriwa TBC tuu 😂
🤝Jaribu pia Wasafi TV, Zamarad, Crown na Azam