Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Kwahy wakuu ndio mmesema hakuna anayejua mishahara ya shirika la utangazaji TBC
 
Kwahy wakuu ndio mmesema hakuna anayejua mishahara ya shirika la utangazaji TBC
Zamani walikuwa wanatumia scales za TGS. Naona wametengeneza scheme yao mpya na imepitishwa. Sidhani kama itakuwa na maajabu sana. Chukua TGS + 300,000/-
 
Taasisi hizi wanachukua milion 4 na point .

1.TPDC
2.TCRA - hawa hata 5 mpaka sita kwa degree maana mara ya wmisho ilikuwa 2022 , nilisikia wameongeza
3. TCAA wanakula nne
4. LATRA , wana fursa kede kede safari za kumwaga


Kuna nyingine kibao
 
Upo sahihi mfano TGS A = TBCS 1
Kama TGS A (550,000) = TBCS 1 (850,000), Ongezeko kama 300,000
Mh ila hy TBCS 1 & 2 naona mara nyingi inatumika kwa certificates.
TBCS 3 & 4 inatumika kwa diploma.
TBCS 5 & 6 inatumika kwa degree.

Sasa mhh! TBCS 1 sidhan kama itakuwa 850k labla kwa TBCS 4 & 5 ndo wanaweza kuvuta hy 850k

CC joooh12
 
Basic 1.1m ukikatwa inaenda 800+k haifiki 900k, then wana extra duty basi yan kifupi diploma ni 1.5m+
Duh diploma anakunja 800+k take home, aisee em ngoja niendelee kupambana mana nlichosomea naweza kuajiriwa TBC tuu 😂
 
Back
Top Bottom