Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

natoa salary za ICTO 2,

1. TPDC==I don't know
2. TCRA==2.0m
4. Ngorongoro==1.8m
3. Ewura==I don't know
4. WCF==2.0m
5. TBS==I don't know
5. TANAPA==1.8m
5. Tume ya madini==I don't know
6. Mamlaka ya chakula na dawa==I don't know
7. SSRA==2.0m
8. NSSF/PSSS==I don't know
9. BOT==I don't know
9. Bunge==I don't know
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali==I don't know
10. TASAC==1.5m
10. TRA==2.5m
11. MSD==I don't know
11. TAKUKURU==I don't know
11. EGA==2.61m
12. NHIF==1.6m
13. TPA==1.6m
13. TIC==I don't know
Ewura andika 3m
 
Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo

Na mshahara wa MWISHO wa mtumishi wa serikali NI sh 2,727,500/- unless km ana cheo km mkuu wa KITENGO au idara au mkuu wa taasisi msikaririshane Mambo ambayo hayapo na nkupe tu TAARIFA huyo ambaye yupo TRA mwenye degree anaeanza Kazi Hana tofauti na mwenye degree ya maendeleo ya JAMII wa Moshi vijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
TRA 2,340,000 maendeleo ya Jamii vijijini ni ngapi?
 
Back
Top Bottom