Mosi, kuna Watumishi wa Umma na Watumishi wa Taasisi na Agencies za Umma!Kwani hawa si wanalipwa kutokana na elimu na muda kazini?! kasoro ngorongoro ndo anajilipa mshahara
Ss ww unaandika unono, unono upi unaongelea ww
Hawa watumishi wa umma ndio ambao mishahara yao inafanana fanana across various sectors! Ndo maana utakuta Wakili wa Serikali Grade II anaanza na Salary Scale ya Grade D, at the same time Mhasibu Grade II nae anaanza na Salary Scale Grade D!
Kinyume chake, taasisi na agencies za serikali zina grading yao ya mishahara, na haifanani kutoka sekta moja na nyingine! Kwa mfano, salary scales ya public universities haiwezi kuwa sawa na salary scale, say ya TBS!
Salary scale ya TBS haiwezi kuwa sawa na salary scale ya THA or TRA!
Kuna taasisi/agencies ambazo DIRECTLY zinazalisha pesa for the govt wakati zingine kazi yao ni kutumia pesa inayotengenezwa na taasisi zingine!!
TRA, THA, Ngorongoro, and the like; hawa wanazalisha pesa but still salary scales zao haziwezi kuwa sawa!!