Sio hukupemda hyo kauli ulitaka usikie wanalipwa mafezwa mengi kuliko uhalisiaMimi sikupenda ile kauli ya kusema hizo ni kamba, kwanini nidanganye ktk platfom kama hii?
Ukisema salary zipo chini nakubali ila usipinge baadha ya sehemu mishahara yao.
Mwisho kabisa, kafatilie hata mishahara ofisi ya mkemia mkuu, Gvt kuna sehemu na sehemu.
Ndugu, naona upo kibishani zaidi.Sio hukupemda hyo kauli ulitaka usikie wanalipwa mafezwa mengi kuliko uhalisia
Mdada kama kitu kama hujawahi kutana nacho haimaanishi hakipo.[emoji23][emoji23][emoji23] a wapi huo mshahara umshinde DC karibia na mkurugenzi what a joke
Mkuu I beg to differ hapaAu kaona posho ya chakula na vinywaji?
JW wapo vyema, afisa analipwa mshahara, cheo, elimu yake inalipwa, umeme na maji n.kMkuu I beg to differ hapa
Hivi raia mnavyosema kuwa mishahara Jwtz ni ya "kawaida sana" mnakuaga na data za kutosha kweli?
Na mnaongelea mishahara ya askari wa ngazi ipi hasa?
NaamJW wapo vyema, afisa analipwa mshahara, cheo, elimu yake inalipwa, umeme na maji n.k
Ukichanga yote hayo kwa luteni hashuki chini ya 2m.
Kuna mtu hapo juu alikuwa anapinga vitu nikawa namchek tu.Naam
Luteni ni 2.3+ kutegemea na ulipo.
Kuna Lt mtaalamu wa mifugo, mafunzo ya kivita, mwingine daktari, mkufunzi, rubani wa ndege za jeshi and the list goes on.
Mkuu anaangalia jina la Taasisi kisha unaweka nadharia Zak kichwani ama,katika hizo ttaasisi ulizozitaja hapo ni EWURA pekee ambaye degree holder anaanza na 3MHahaha eti Dr au mhadhir wa chuo kikuu, hapa hapa serikalin katazame au fatilia mishahara ya sehemu kama
BOT
TANAPA
EWURA
TRA
Mbona taasisi yetu siioni au ni nyeti sana kias kwamba Raia hamuifahamuWakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Nimeona.Kuna mtu hapo juu alikuwa anapinga vitu nikawa namchek tu.
Doktar Bingwa au Wahadhil chuo wanaachwa mbali tu na baadhi ya watu serikalini.
Nielewe vyema nikiwa naeleweshana na huyo jamaa hapo juu.Mkuu anaangalia jina la Taasisi kisha unaweka nadharia Zak kichwani ama,katika hizo ttaasisi ulizozitaja hapo ni EWURA pekee ambaye degree holder anaanza na 3M
Shida hamtaki kusikia ukweliMdada kama kitu kama hujawahi kutana nacho haimaanishi hakipo.
Usibishe tu
Ni kweli sio vyema kubishana ninachojua watumishi wengi salary zao ni ndogo sana
Private hata 6 ila balaa wanalijua wenyewe ile ukizunguka kidogo termination inakuhusu serikalini ni ule uvivu mtu akihisi mafua anaomba ruhusa anakaa home siku 3 na zaidi ila private ni kibokoTena kwa organization mtu wa bachelor anakula hata zaidi ya milion tano kumzidi Prof wa chuo kikuu usishangae tembea uone. Hata huko sijui TRA sijui wapi hyo milion mbili na kitu si mishahara ya Senior wa zaidi ya miaka kumi na tano kazini
Sasa private una grow hata career yako ukiwa vizuri ajira hazisumbui maana kuwa tu private ni bonge la risk taker tofauti na serikalini wamebweteka hata utendaji wao wa kazi Haina ubunifu ni Bora liende tuPrivate hata 6 ila balaa wanalijua wenyewe ile ukizunguka kidogo termination inakuhusu serikalini ni ule uvivu mtu akihisi mafua anaomba ruhusa anakaa home siku 3 na zaidi ila private ni kiboko
Sister, usibishe tembea uone[emoji23][emoji23][emoji23] a wapi huo mshahara umshinde DC karibia na mkurugenzi what a joke
Asa TPDENGA ni Taasisi shekhee?[emoji1732][emoji1732]TPDF kama haipo hii orodha yako ni batili
Mwakani sio mbali, mambo yatakuwa sawa.Ni kweli sio vyema kubishana ninachojua watumishi wengi salary zao ni ndogo sana