Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Tunafaidika nini na huu Uzi wako?
 
Hata wa magereza Bado hawaja shortlist ndio maswali yanatungwa it obvious mpaka January loh. So msiwe na haraka
January tena [emoji134] ILa hakunaga tarehe iliyo pangwa ambayo haijawahi kufika. Ni swala la muda tu ngoja tusubiri hakuna namna.
 
Wapo wengi tu Sasa tena aliomba connection akahamishwa hyo sehemu na anakatibia kustaafu, nikiona watu wanadaganyana kuhusu salary humu nasema hiiiiii
Acha uongo wewe, kama hujui uliza, we unadhani watu hawafanyi kazi kwenye hizo ofisi? Yaan miaka 15 uwe na elimu kubwa yaan Masters afu ulipwe pungufu ya mil 3. Kuanzia miaka 15 uzoefu TRA unakuwa na sifa ya kuwa PRINCIPAL....
 
Namsemea huyo ninaye mjua ni vizuri na wewe ume share ya kwako maana huyo Maza namjua ndio kahamia taasisi flani akapanda
 
Acha uongo wewe, kama hujui uliza, we unadhani watu hawafanyi kazi kwenye hizo ofisi? Yaan miaka 15 uwe na elimu kubwa yaan Masters afu ulipwe pungufu ya mil 3. Kuanzia miaka 15 uzoefu TRA unakuwa na sifa ya kuwa PRINCIPAL....
Nimeshawaambia huyo mtu msameheni tu, hakuna analojua.
 
wakuu meshindwa kabisa kunijulisha kuhusu SHIRIKA LA NDEGE TANZANIA (ATCL) kiwango chao sh ngp kwanz ya diploma
 
TBL njaa Kali Sasa hv, TBL ilikua zamani.
 
1.2m ka unaanza ajira mpya
Nina jamaa yangu alikuwa anafanya kazi hapo, kaacha kaingia serikalini.

Alikuwa Afya na Mazingira ila malipo yalikuwa 500K halafu kazi nyingi mpaka usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…