Huyo alioandika ivyo viwango kakosea snaUnanijibu mimi au nani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo alioandika ivyo viwango kakosea snaUnanijibu mimi au nani?
Hivyo ni kwa officer 2 anaeanza kazi, kama nimekosea naomba evidense ya kwako uko sahihi,Huyo alioandika ivyo viwango kakosea sna
Mzee itafute ya PCCBHivyo ni kwa officer 2 anaeanza kazi, kama nimekosea naomba evidense ya kwako uko sahihi,
Amepatia ...nipo moja ya taasisi zilizotajwa...pia Nina marafiki baadhi ya tasisi hapo...amepita humohumo.Huyo alioandika ivyo viwango kakosea sna
Na taasisi kama Self microfinance ni ngapi mkuu?Kwa Ifficer 2 hii ndio gross salary zao in accordance with the row
1. TPDC 1.8m 2. TCRA 3.5m 4. Ngorongoro 1.8m 3. Ewura 1.8m 4. WCF 2.0m 5. TBS 1.8m 5. TANAPA 1.8m 5. Tume ya madini hawa below 1.5m 6. Mamlaka ya chakula na dawa 1.7m 7. SSRA 2m 8. NSSF/PSSSF 2m 9. BOT 1.8m 9. Bunge Hawa below 1m 9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali Hawa sijajua 10. TASAC 2m 10. TRA 2.3m 11. MSD 1.8m 11. TAKUKURU Sijajua bado 11. EGA 3.07m 12. NHIF 1.7m 13. TPA 1.6m 13. TIC Sijui bado 14. KADCO hawa below 1.5m 15. TANESCO 1.2m 16. TANROAD Sijui bado 17. TAA 1.35m
Kuna moja umekosea hapo maana kuna jamaa yangu yupo nimeona mpaka salar y slip yake kabisa na barua yake kiwango alichoandikiwaHivyo ni kwa officer 2 anaeanza kazi, kama nimekosea naomba evidense ya kwako uko sahihi,
PCCB mshahara laki 8 Kwa degree ila kuna posho ya risky allowance Kila mwezi pamoja Hela ya kujikimu ukiwa field au unafanya uchunguzi flaniMzee itafute ya PCCB
Wote hao ni cha mtoto mbele ya wacheza bet. Mtu anatabiri mechi 13 kwa usahihi pesa kwa mamilioni inamfuata kwenye simu yake!Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Si kweli mkuuPCCB mshahara laki 8 Kwa degree ila kuna posho ya risky allowance Kila mwezi pamoja Hela ya kujikimu ukiwa field au unafanya uchunguzi flani
Ukweli ni upi,unapinga afu husemi ukweli unaoujua?Si kweli mkuu
Duuh yaani mimi siku zote wanavyosemaga mishahara minono, huwa nadhani labda hizo taasisi zote ofisa anayeanza kazi anachezea kuanzia 2.5M-3M!Kwa Ifficer 2 hii ndio gross salary zao in accordance with the row
1. TPDC 1.8m 2. TCRA 3.5m 4. Ngorongoro 1.8m 3. Ewura 1.8m 4. WCF 2.0m 5. TBS 1.8m 5. TANAPA 1.8m 5. Tume ya madini hawa below 1.5m 6. Mamlaka ya chakula na dawa 1.7m 7. SSRA 2m 8. NSSF/PSSSF 2m 9. BOT 1.8m 9. Bunge Hawa below 1m 9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali Hawa sijajua 10. TASAC 2m 10. TRA 2.3m 11. MSD 1.8m 11. TAKUKURU Sijajua bado 11. EGA 3.07m 12. NHIF 1.7m 13. TPA 1.6m 13. TIC Sijui bado 14. KADCO hawa below 1.5m 15. TANESCO 1.2m 16. TANROAD Sijui bado 17. TAA 1.35m
Sio kweli sio zote baadhiw kapuyangaDuuh yaani mimi siku zote wanavyosemaga mishahara minono, huwa nadhani labda hizo taasisi zote ofisa anayeanza kazi anachezea kuanzia 2.5M-3M!
Kumbe wengi hata 2M hawafiki, kama ni hivyo basi TPDF linalipa vizuri asee maana jeshini hizo 1.8M-2M ni mishahara ya makoplo na masajenti ambao wengi wameishia la saba na form four!
Bado hujazungumzia wenye degree maofisa kuanzia maluteni halafu kuna watu wanadharau eti jeshini hamna kitu eti pesa ziko TRA na BOT kumbe pesa zenyewe ndiyo hizo wabongo bhana!
Zitaje Alizokosea uweke na masahihisho yakeSio kweli sio zote baadhiw kapuyanga
Hakuna mtumishi anaweza kuweka taarifa sahihi kuna moja nimeona hpo kataja tofauti badala ya mil 2.8 kuweka 1.5😂😂😂Zitaje Alizokosea uweke na masahihisho yake
Sasa si uitaje..au unaogopa?Hakuna mtumishi anaweza kuweka taarifa sahihi kuna moja nimeona hpo kataja tofauti badala ya mil 2.8 kuweka 1.5😂😂😂
Mkuu hao watumishi si tunaishi nao humu humu mitaani na wewe si umesema hapo juu kuwa kuna mmoja umeona hadi salary slip yake? Sasa si uweke hapa hiyo namba na hizo alizozikosea si uzitaje mbona unazunguka sana chief?Hakuna mtumishi anaweza kuweka taarifa sahihi kuna moja nimeona hpo kataja tofauti badala ya mil 2.8 kuweka 1.5[emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndiyo hapo sasa? Watu tunajua hadi mishahara na posho za usalama wa taifa na wala hatujawahi fanya kazi hiyo halafu mtu anakuambia eti hakuna mtumishi anaweka wazi mshahara wake tena taasisi zenyewe hizo ambazo hazina unyeti wowote!Sasa si uitaje..au unaogopa?
PCCB take home 1.8M, alaf posho kwa mwezi 500k, mbali za vikaoUkweli ni upi,unapinga afu husemi ukweli unaoujua?