Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Na taasisi kama Self microfinance ni ngapi mkuu?
Pia TIB kama unajua
 
Wote hao ni cha mtoto mbele ya wacheza bet. Mtu anatabiri mechi 13 kwa usahihi pesa kwa mamilioni inamfuata kwenye simu yake!
 
Duuh yaani mimi siku zote wanavyosemaga mishahara minono, huwa nadhani labda hizo taasisi zote ofisa anayeanza kazi anachezea kuanzia 2.5M-3M!

Kumbe wengi hata 2M hawafiki, kama ni hivyo basi TPDF linalipa vizuri asee maana jeshini hizo 1.8M-2M ni mishahara ya makoplo na masajenti ambao wengi wameishia la saba na form four!

Bado hujazungumzia wenye degree maofisa kuanzia maluteni, halafu kuna watu wanadharau eti jeshini hamna kitu eti pesa ziko TRA na BOT kumbe pesa zenyewe ndiyo hizo wabongo bhana!
 
Sio kweli sio zote baadhiw kapuyanga
 
Hakuna mtumishi anaweza kuweka taarifa sahihi kuna moja nimeona hpo kataja tofauti badala ya mil 2.8 kuweka 1.5[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu hao watumishi si tunaishi nao humu humu mitaani na wewe si umesema hapo juu kuwa kuna mmoja umeona hadi salary slip yake? Sasa si uweke hapa hiyo namba na hizo alizozikosea si uzitaje mbona unazunguka sana chief?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…