Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

This was my dream ila sasa nafyatua tofali dah[emoji41]
Hao ndio pekee najua naojua mimi wana mishahara minono nchii hii

Na inapanda kwa elimu na tafiti yaani we piga kitabu piga tafiti zako na paper publications mshahara utapanda tu.

Wengine wote labda wapewe uafisa mtendaji mkuu wa taasisi.

Komaa mzee uwe una kula PUTS zako [emoji2]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwa akina patel
 
WTF[emoji2] MP kwa buku 35[emoji1787]
 
Vipi mwanasheria mwenye level ya degree anaanzia kiasi gani kwa anayefahamu.
 
wa wanajeshi sidhani kama wana mishahara mizuri sana. Labda maofisa wale
Niliwahi ishi kabisa maisha yao nimeyaona wanaishi kawaida sana hakuna maajabu japo sio guarantee.

But sehemu kukiwa na pesa harufu yake unainusa t

Yaani daktari anasota miaka 6 plus intern bado anakunja 1.5M pekee?
Daktari mbwembwe tu ukiwa bado uko o level ndo unajua daktar wana kila kitu ila wengi mpaka wanapiga na private vidil vya abortion ndo vinawaweka mjini hali ngumu kwa hongo hii

Ila akitoka nje anashika parefu ninao wana wanapiga bongo wanakunja 1.5mil halafu ni madaktri tegemezi
 
Mwanasheria (legal officer au officer yoyote) salary wanaanzia sawa hakuna mshahara wa legal officer mfano legal officer akiajiruwa wizarani anaanzia TGS D ambayo gross ni 710k
 
TAJIRI SERIKALI ya Leo haiajiri form 4 inaajiri professional fulani au major fulani upande wa JWTZ hawana salary kubwa hapa tunaongelea entry level
 
Immigration, fire, police, FFU, and all walio Wizara ya mambo ya ndani kwa mtu mwenye bachelor unaanza na gross ya -800k unless Kuna posho ya degree maalum example md, nurse, it, engineering,and et cetera
 
Mwanasheria (legal officer au officer yoyote) salary wanaanzia sawa hakuna mshahara wa legal officer mfano legal officer akiajiruwa wizarani anaanzia TGS D ambayo gross ni 710k
Yaani unataka kuniambia mwanasheria wa ngazi ya degree alipwe mshahara mdogo kuliko mwalimu wa degree ambaye anaanzia sio chini ya 740k?
 
Mwanasheria (legal officer au officer yoyote) salary wanaanzia sawa hakuna mshahara wa legal officer mfano legal officer akiajiruwa wizarani anaanzia TGS D ambayo gross ni 710k
Maana kuna mdau hapa amesema mwanasheria anaanzia sio chini ya 900k kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…