Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hivi hawa HAZINA mishahara yao ipoje?? Mbona sijaona mkiwaongelea kabisa?
 
Wewe sio askari
TRA Kuna pesa tpdf Kuna mshahara tu,
 
kwa mwandiko huu wewe lazima utakuwa mgambo
 
Mnaposema kulipa vzr ni kuanzia sh ngapi jmn?
 
Mwanajeshi yeyote kuanzia nyota moja ni afisa mkuu. Na cheo cha chini kabisa kwa maafisa ndiyo hiko luteni usu ambaye ndiyo anakuwa na nyota moja na ndiyo anaanza na huo mshahara alioutaja jamaa na hapo ni nje ya marupurupu.
Hapan unajua akitoka luten usu ndo anafata luteni kamili sasa yan range ya mshahara ndo wapishane karibu 1.3 hapan sio nyie mtafanya tuonekane tunapesa huku mtaani kumbe hamna kitu
Hiyo 2.3 narudia ni mshahara wa luteni kanali pamoja na marupurupu
Luten kamil ni 1.3m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanajeshi yeyote kuanzia nyota moja ni afisa mkuu. Na cheo cha chini kabisa kwa maafisa ndiyo hiko luteni usu ambaye ndiyo anakuwa na nyota moja na ndiyo anaanza na huo mshahara alioutaja jamaa na hapo ni nje ya marupurupu.
Majenerali hao ndo wana mishahara mizuri
Jenerali kuanzia brigedia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, Jf naomba mwenye connection yeyote ya kazi halali anijuze nipo dar no 0683328730
 
Acha kudanganya mzee. hautakusaidia kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…