Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hivi hawa HAZINA mishahara yao ipoje?? Mbona sijaona mkiwaongelea kabisa?
 
Naona watu mnajadili sana mshahara wa jwtz lakn kiukwel huku mishahara ni ya kawaida sana sema tu kunaposho ambayo ni lak 3 kwa kila askar haijalish cheo kingine huku makambini huwa kuna vitu tunaita motisha yan mfano tunaweza letewa nyama tukauziwa kilo ata 2500 soda 300
Laki swala la mshahara nilakawaida sana ata safar zetu nje ya kituo huku tunaita night askar tunapata 70k na maafisa 100k
Labda kitakachofanya upate pesa huende ulinzi njee ya nchii huko japo huko napo maisha yanakuwa leani , kingine labda pia upate kaz makao makuu huko kidogo ndo kwenye malupulupu
Huko jw maisha niyakawaida sana tunachopata labda nikuogopeka tu mtaan basi lakin kwa hiyo mishahara ya mashirika mengine kama nikwel basi mpo vzr
Mshahara wa 2.3m huku kwetu ndo mshahara pamoja na malupulupu ya luten kanil kwa mwez

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio askari
Hawana tofauti ila ndiyo ushangae sasa kuwa watu wanasifia TRA na kudharau TPDF kuwa eti hamna kitu kulinganisha na hizo taasisi zote, wakati nimeona pale taasisi nyingi ambazo watu wanazisifia zinacheza kwenye 1.8M-2M kwa degree anayeanza kazi. By the way hata hao maluteni wengi huwa na degree pia na wengine hata diploma, na wengi ni vijana wadogo tu under 30 na wanakuwa hawana muda mrefu kazini.
TRA Kuna pesa tpdf Kuna mshahara tu,
 
Naona watu mnajadili sana mshahara wa jwtz lakn kiukwel huku mishahara ni ya kawaida sana sema tu kunaposho ambayo ni lak 3 kwa kila askar haijalish cheo kingine huku makambini huwa kuna vitu tunaita motisha yan mfano tunaweza letewa nyama tukauziwa kilo ata 2500 soda 300
Laki swala la mshahara nilakawaida sana ata safar zetu nje ya kituo huku tunaita night askar tunapata 70k na maafisa 100k
Labda kitakachofanya upate pesa huende ulinzi njee ya nchii huko japo huko napo maisha yanakuwa leani , kingine labda pia upate kaz makao makuu huko kidogo ndo kwenye malupulupu
Huko jw maisha niyakawaida sana tunachopata labda nikuogopeka tu mtaan basi lakin kwa hiyo mishahara ya mashirika mengine kama nikwel basi mpo vzr
Mshahara wa 2.3m huku kwetu ndo mshahara pamoja na malupulupu ya luten kanil kwa mwez

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa mwandiko huu wewe lazima utakuwa mgambo
 
Mwanajeshi yeyote kuanzia nyota moja ni afisa mkuu. Na cheo cha chini kabisa kwa maafisa ndiyo hiko luteni usu ambaye ndiyo anakuwa na nyota moja na ndiyo anaanza na huo mshahara alioutaja jamaa na hapo ni nje ya marupurupu.
Hapan unajua akitoka luten usu ndo anafata luteni kamili sasa yan range ya mshahara ndo wapishane karibu 1.3 hapan sio nyie mtafanya tuonekane tunapesa huku mtaani kumbe hamna kitu
Hiyo 2.3 narudia ni mshahara wa luteni kanali pamoja na marupurupu
Luten kamil ni 1.3m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwanajeshi yeyote kuanzia nyota moja ni afisa mkuu. Na cheo cha chini kabisa kwa maafisa ndiyo hiko luteni usu ambaye ndiyo anakuwa na nyota moja na ndiyo anaanza na huo mshahara alioutaja jamaa na hapo ni nje ya marupurupu.
Majenerali hao ndo wana mishahara mizuri
Jenerali kuanzia brigedia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari, Jf naomba mwenye connection yeyote ya kazi halali anijuze nipo dar no 0683328730
 
Hapan unajua akitoka luten usu ndo anafata luteni kamili sasa yan range ya mshahara ndo wapishane karibu 1.3 hapan sio nyie mtafanya tuonekane tunapesa huku mtaani kumbe hamna kitu
Hiyo 2.3 narudia ni mshahara wa luteni kanali pamoja na marupurupu
Luten kamil ni 1.3m

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya mzee. hautakusaidia kitu
 
Back
Top Bottom