Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe sio askariNaona watu mnajadili sana mshahara wa jwtz lakn kiukwel huku mishahara ni ya kawaida sana sema tu kunaposho ambayo ni lak 3 kwa kila askar haijalish cheo kingine huku makambini huwa kuna vitu tunaita motisha yan mfano tunaweza letewa nyama tukauziwa kilo ata 2500 soda 300
Laki swala la mshahara nilakawaida sana ata safar zetu nje ya kituo huku tunaita night askar tunapata 70k na maafisa 100k
Labda kitakachofanya upate pesa huende ulinzi njee ya nchii huko japo huko napo maisha yanakuwa leani , kingine labda pia upate kaz makao makuu huko kidogo ndo kwenye malupulupu
Huko jw maisha niyakawaida sana tunachopata labda nikuogopeka tu mtaan basi lakin kwa hiyo mishahara ya mashirika mengine kama nikwel basi mpo vzr
Mshahara wa 2.3m huku kwetu ndo mshahara pamoja na malupulupu ya luten kanil kwa mwez
Sent using Jamii Forums mobile app
TRA Kuna pesa tpdf Kuna mshahara tu,Hawana tofauti ila ndiyo ushangae sasa kuwa watu wanasifia TRA na kudharau TPDF kuwa eti hamna kitu kulinganisha na hizo taasisi zote, wakati nimeona pale taasisi nyingi ambazo watu wanazisifia zinacheza kwenye 1.8M-2M kwa degree anayeanza kazi. By the way hata hao maluteni wengi huwa na degree pia na wengine hata diploma, na wengi ni vijana wadogo tu under 30 na wanakuwa hawana muda mrefu kazini.
Ni confidential mkuu ila inategemeana na vyeo na vitengo walivyopo. Na pia inategemea na matumizi ya mtu binafsi.
kwa mwandiko huu wewe lazima utakuwa mgamboNaona watu mnajadili sana mshahara wa jwtz lakn kiukwel huku mishahara ni ya kawaida sana sema tu kunaposho ambayo ni lak 3 kwa kila askar haijalish cheo kingine huku makambini huwa kuna vitu tunaita motisha yan mfano tunaweza letewa nyama tukauziwa kilo ata 2500 soda 300
Laki swala la mshahara nilakawaida sana ata safar zetu nje ya kituo huku tunaita night askar tunapata 70k na maafisa 100k
Labda kitakachofanya upate pesa huende ulinzi njee ya nchii huko japo huko napo maisha yanakuwa leani , kingine labda pia upate kaz makao makuu huko kidogo ndo kwenye malupulupu
Huko jw maisha niyakawaida sana tunachopata labda nikuogopeka tu mtaan basi lakin kwa hiyo mishahara ya mashirika mengine kama nikwel basi mpo vzr
Mshahara wa 2.3m huku kwetu ndo mshahara pamoja na malupulupu ya luten kanil kwa mwez
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu kama hicho luten usu anaanza 1.1mMkuu huo mshahara wa luteni kanali una uhakika nao au ndiyo hao wakubwa zako walivyokuambia? Kuna jamaa humu mjeda alisema huo mshahara wa 2.3M ni wa luteni (nyota mbili) labda kama useme unajaribu kuwapoteza maboya!
Nyota moja na Afisa Je?Exactly na hapo ni nje ya marupurupu, lakini Luteni kamili anacheza kwenye 2.3M pamoja na marupuru
Hapan unajua akitoka luten usu ndo anafata luteni kamili sasa yan range ya mshahara ndo wapishane karibu 1.3 hapan sio nyie mtafanya tuonekane tunapesa huku mtaani kumbe hamna kituMwanajeshi yeyote kuanzia nyota moja ni afisa mkuu. Na cheo cha chini kabisa kwa maafisa ndiyo hiko luteni usu ambaye ndiyo anakuwa na nyota moja na ndiyo anaanza na huo mshahara alioutaja jamaa na hapo ni nje ya marupurupu.
Majenerali hao ndo wana mishahara mizuriMwanajeshi yeyote kuanzia nyota moja ni afisa mkuu. Na cheo cha chini kabisa kwa maafisa ndiyo hiko luteni usu ambaye ndiyo anakuwa na nyota moja na ndiyo anaanza na huo mshahara alioutaja jamaa na hapo ni nje ya marupurupu.
Hiyo Ni Laki moja tu kwa mwezi.Hapo hujaweka posho ya chakula na vinywaji.Jeshi raha sana.
Hii ni net au gross?TA 1.77milion
Ass Lecturer 2.54m
Lecture 3.8milion
Senior Lecturer 4.8+
Professor 6 milion
Unajitekenya unacheka.
Haupo sahihi mkuu. Ulichoandika sio.Exactly na hapo ni nje ya marupurupu, lakini Luteni kamili anacheza kwenye 2.3M pamoja na marupurupu.
Swali zuri...Labda atakuwa anapewa stori tu na wenzie, wanamdanganya.Una cheo gani huko Jeshini mkuu
Kabisa.Huyu kama ni mwanajeshi nina uhakika lazima atakuwa ni askari na siyo afisa. Sababu hawa wadogo wengi hawajuagi mishahara ya wakubwa wao.
Acha kudanganya mzee. hautakusaidia kituHapan unajua akitoka luten usu ndo anafata luteni kamili sasa yan range ya mshahara ndo wapishane karibu 1.3 hapan sio nyie mtafanya tuonekane tunapesa huku mtaani kumbe hamna kitu
Hiyo 2.3 narudia ni mshahara wa luteni kanali pamoja na marupurupu
Luten kamil ni 1.3m
Sent using Jamii Forums mobile app