Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Huu uzi umevamiwa na wazee wa jw..hawataki kusikia wengine wanakula maisha huko kwenye taasisi..huku wenyewe wakifolenishwa kila siku.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe ni police na sio mjeda yani bakabaka! Hujui
 
Pamoja na kwamba UZI ni wa siku nyingi na baadhi ya taasisi hazipo tena (SSRA being one of them ) lakini nimeangalia kwa HARAKA HARAKA (kama mleta uzi amefanya utafiti wake vizuri ) over 90% ya hizo taasisi ni service providers, sio production institutes, yaan zinategemea kuchukua either ruzuku au kuchuna sehemu ndio zilipane, mfano SSRA, EWURA nk. Tunawalipa kidogo watu wa muhimu (madaktari, walimu ) halafu tunalipa pesa nyingi kwa taasisi ambazo hata zikifutwa leo wala hazina impact yoyote kwa nchi. Natolea mfano mmoja wa kijinga; hivi mnafahamu over 10 years nauli za mabasi zipo chini zaidi kuliko bei elekezi ya serikali? Lingine fanya hili, tumia tu simu yako ya mkononi, uliza bei za mafuta sehemu uliopo, angalia bei elekezi ya EWURA halafu tembelea baadhi tu ya vituo vya mafuta, utagundua kwamba bei wanayo UZA ipo chini na bei pendekezwa; sababu ya hayo yote ni moja tu, ushindani wa soko unasababisha only wenye mitaji mikubwa kuendelea ku savaivu so why are we paying all of that salaries to those people? I am not saying wafutwe but tuangalie umuhimu wa sekta.
 
Mkuu wewe ni mwanajeshi gani usiyejua kuwa kuanzia cheo cha Kanali kuna vitu vya ziada unahudumiwa na jeshi? Hata cheo kikubwa kama Kanali ambao pia ndipo wanapoanza kuvaa vijogoo siyo cheo kidogo cha kusema eti mshahara wake ni mdogo!
mkuu huyu jamaaa ni muuza machungwa pale k/koo namjua sio mjeda hata.
yani usijisumbue kumuelewesha sana maaana hana anachokijua khsu jeshi.
 
Hamia na ww EWURA, Kuna kozi ukizisoma mfano (Education, Medicine,) usahau kuajiriwa EWURA,TRA,BoT wenzio walichagua B.Com,BBA, ENGINEERING,HR,LAW,Tax SOCIOLOGY,IT, COMPUTER SCIENCE ndiyo wamejaa EWURA,TPDC,BoT,TRA
 
Huyo jamaa amekosea huo siyo mshahara wa luteni usu tukiachilia mbali marupurupu. Na hata hizo taasisi nyingine zile amount zilizotajwa ni mshahara pamoja na marupurupu.
Huko Ni mshahara tu wenzenu TRA, POLICE TRAFFIC magumashi yakutosha hawategemei mshahara.
 
Ukitaka uthibitishe traffic Wana hela, Kama unakumbuka yuke Police aliyekamatwa na rushwa iringa alikutwa na 150,000/-+ na hiyo ilikuwa ya siku moja tu, Sasa akifanya hivyo kwa mwezi si ana 4,500,000/-
 
Kwahiyo kwa akili yako unadhani hiyo 150K ni constant kwamba atakuwa anaingiza kila siku au zaidi kwa mwezi au mwaka mzima mfululizo? Na unafikiri matraffic wote wana uwezo wa kukusanya yote hiyo mahali popote tu siyo?
-Hata Kama hawawezi kukusanya kila siku hiyo 150,000/- lakini hela ya magumashi wanayo nyingi kuliko watumishi wanaotegemea mishahara,
--By the way, mbona hujasema siku wanayovuka hiyo 150,000/-? let say wamepiga 400,000/- kwa siku? hata Kama isipokuwa constant 150k per day unakuta automatically kwa mwezi mwenzio ana 4M za magumashi
 
Huyo jamaa amekosea huo siyo mshahara wa luteni usu tukiachilia mbali marupurupu. Na hata hizo taasisi nyingine zile amount zilizotajwa ni mshahara pamoja na marupurupu.
Hizo Taasisi zilizotajwa ni salary hiyo bwashee, TRA unakuta Ni 2.7 M hiyo ni salary bado posho bado overtime ukijumlisha unajikuta ww unapokea posho mwenzio wa TRA anapokea mshahara
Kama ni hela hizo basi wabaki nazo tu! Hapa tunaongelea taasisi zinazolipa vizuri hatuongelei taasisi zinazoshindana kuiba na kupokea rushwa so ni wewe ndiye uliyetoka nje ya mada!
Wenzio hela za magumashi ndio zinawafanya wajenge magorofa
 
Mnalinganisha mishahara ya watu na matumizi yenu binafsi na kuanza kujudge kama ni mkubwa,mdogo,unatisha au hautoshi..
Bado tuna safari ndefu..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
--unataka kulazimisha ulingane na TRA wenzako wako juu 2.7M ndiyo salary ukiwa na CPA unalipwa 3.2 M (bado posho) ambao ni mishahara ya maluteni wawili
-Unataka matrafiki wakuonyeshe mali zako ukawasemee TAKUKURU kwamba wanamiliki mali zaidi ya kipato?
-Wanaojenga magorofa labda majenerali lakini lakini siyo junior officers
-
 
--orodha iliyotajwa huko juu ni ya mishahara, lakini Kuna vitengo vina mishahara na magumashi ya kutosha mfano forodha
-hata Kama siyo constant, hebu tuchukulie hata akichukua 70,000,50,000 kwa siku bado Ni kubwa kulinganisha na anayetegemea mshahara
-
 
--Mbona unalazimisha kuwa wanawazidi? Kwani traffic hawawezi kuwazidi ?, Kuzidiwa kupo tu Mkuu, kwa sababu Magumashi huwa ni mengi kuzidi mshahara ndiyo maana ukienda Forodha unakuta mtu ana nyumba 70 ukijiuliza kazipataje huna majibu
-Kwani kuzidiwa ni ajabu? Itabidi tu ukubali kuwa Kuna watu Wana magumashi ya kutosha mara 5 ya mshahara
 
-mbona unaanza kujitetea kuwa sio mwanajeshi? Naona umeanza kujifanya TRA kwa sababu Wana pesa nyingi na magumashi,
-Ngoja nikuulize swali kati ya Kamishna wa Forodha na Meja Nani mwenye pesa ndefu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…