Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Yuko juu kulingana na nani mbona unalazimisha mambo ambayo hayapo? Kamishna wa forodha cheo chake ni karibu sawa na Meja jenerali wa jeshi sasa mbona humlinganishi na hao, wakati hata hii mada imelenga kulinganisha mishahara ya watu wenye elimu sawa na position sawa mfano afisa wa TRA mwenye degree na afisa wa TPDF mwenye degree ambao ndiyo wanaanza kazi, ila wewe unarukaruka tu kama bisi mara traffic mara kamishna wa forodha unalazimisha kulinganisha wasiolingana vyeo asee!
--kwa Nini awali ulikuwa unasema Meja anamzidi Kamishna wa Forodha,? Ndiyo maana nilikwambia nimekutega kwenye mtego ukategeka tafsiri yake Ni kwamba hujui hayo Mambo kwa undani, Hadi unafikia hatua ya kujifanya uko TRA kumbe ni uongo
-Kuhusu hao matrafiki and the like nilikuwa nakuonesha kwamba Kuna watu Wana hela hawategemei mshahara
 
Mkuu unajua maana ya kujadili kitu? Wewe ulishawahi kuona wanaijadili na kuipinga bajeti inayotakiwa na jwtz au unafikiri ikikaguliwa na kupitia huko kote basi maana yake inapingwa?
--Bajeti yoyote Bungeni Lazima ijadiliwe na Wabunge wanamkemea waziri kuhusu bajeti aliyoileta Bungeni
-Wanajadili mwishowe wanakubali kuipitisha inapita, ww kwa ufahamu wako Bunge hili limewahi kugoma kupitisha Bajeti ya Wizara yoyote?
-Usishangae Bajeti ya Wizara ya Ulinzi kujadiliwa, mbona huulizi kuhusu Bajeti ya Usalama wa taifa ? Hebu niambie kwa ufahamu wako Usalama wa taifa wako Wizara gani?
 
Watu wanamshambulia ndugu Mtu Kwao kuwa anasema uongo na hatoi data za ukweli lakini bado na wao hawasemi ukweli ni upi. Hawataji exactly mshahara wa Luteni Usu, luteni kamili na vyeo vingine vya commisioned officers. Wakuu mlioko majeshini, msijiskie vibaya. Tunajua kwamba hamlipwi vizuri kivile kama ambavyo mnataka tuamini.

Sisi tuko uraiani na per diems zetu ni 150k na kila baada ya mwezi mmoja au miwili tuko Morogoro, Arusha, Mtwara, Mwanza, Nairobi, Pretoria, kwenye semina na warsha mbali mbali na technical meetings mbali mbali.

Ndio sisi vijana wadogo tunaopush Mercedes Benz E Class na Audi Q5 na 7 mnaotukutaga kule Elements, na tumesoma kozi z kifala tu tia maji tia maji.

This is a joke though🤣🤣🤣
 
Usalama wa taifa wako chini ya wizara ya ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora na ambacho hakipingwi siyo bajeti ya wizara bali bajeti ya usalama wa taifa kama taasisi! Na ndicho nilichosema mimi kwamba bajeti ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa inajadiliwa lakini bajeti ya jeshi kama jeshi ambayo ni taasisi chini ya hiyo wizara haipingwi inakaguliwa tu wewe hebu acha siasa zako!
Upo uko
 
Watu wanamshambulia ndugu Mtu Kwao kuwa anasema uongo na hatoi data za ukweli lakini bado na wao hawasemi ukweli ni upi. Hawataji exactly mshahara wa Luteni Usu, luteni kamili na vyeo vingine vya commisioned officers. Wakuu mlioko majeshini, msijiskie vibaya. Tunajua kwamba hamlipwi vizuri kivile kama ambavyo mnataka tuamini.

Sisi tuko uraiani na per diems zetu ni 150k na kila baada ya mwezi mmoja au miwili tuko Morogoro, Arusha, Mtwara, Mwanza, Nairobi, Pretoria, kwenye semina na warsha mbali mbali na technical meetings mbali mbali.

Ndio sisi vijana wadogo tunaopush Mercedes Benz E Class na Audi Q5 na 7 mnaotukutaga kule Elements, na tumesoma kozi z kifala tu tia maji tia maji.

This is a joke though[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Soma comments mshahara wa luteni usu umeshatajwa mkuu! Haya tuambie wewe unalipwa sh ngapi?
 
Hivi kweli kwa akili ya kawaida mtu yeyote hata asiye muajiriwa wa TRA asikie Kamishna wa forodha atashindwa kutambua kwamba ni cheo kikubwa? Ndiyo maana nikakumbia nilishakuona hamnazo ulipoamua kumfananisha Kamishna na Meja!

Ila niliamua kwenda na wewe hivyo hivyo ili nikuoneshe kwamba hata Meja anaweza kuwa sawa na Kamishna kwenye kipato pamoja na kwamba mmoja ni mkubwa na mwingine ni mdogo! Halafu baadaye ndiyo nikakuambia kwanini pia usimlinganishe na wenzake Mameja jenerali ili twende sawa?

Huu uzi uko humu tangu mwaka juzi na mimi ni mmoja kati ya wachangiaji wa mwanzo kabisa! Kipindi walikuwa wanasema TRA ndiyo wanaongoza kwa kulipa vizuri sikuwahi kubisha nami niliamini hivyo sababu sikuwahi fanya kazi huku!

Ila tangu nimeajiriwa huku ilibidi nirudi kwenye huu uzi kusahihisha wanaoamini kuwa TRA ndiyo inalipa vizuri kuliko taasisi zote nchi hii na kudharau jeshi kuwa hakuna kitu! Ile mishahara aliyoorodhesha yule jamaa ndiyo iko sahihi tena tumezidiwa hadi na TCRA sasa jiulize kwanini silifananishi jeshi na TCRA ila nimekomaa na TRA, ni kwa sababu sasa hivi niko huku na najua kuwa TCRA wamelizidi jeshi ila TRA hatujalizidi ni almost tunalingana, ndiyo maana nikawaweka sawa wale wanaoamini tofauti ila wewe unakuja kuleta ubishi wa kitoto na wakati mengi huyajui unakisia tu!

Yaani bro kama unataka hadi na hili la mimi kuwepo au kutokuwepo TRA nalo tulifanye mjadala hapana kwa kweli sina muda wa kuprove kwako kuwa niko TRA! Maana wewe usipoamini ajili ya assumptions zako basi mimi sina cha kukusaidia na wala haibadilishi ukweli kuwa nimeajiriwa huku so siko hapa kukuaminisha wewe!

Maana nimegundua sasa umeanza kupotezea mada na kukwepa ukweli kwamba TRA tumezidiwa umehamia kwenye experiment ya kutaka kuprove kama nipo au sipo huku! Kana kwamba hilo ndiyo litabadili ukweli kuwa tumezidiwa na taasisi nyingi hebu baki kwenye mada kama mimi basi acha kurukaruka!

Anyway kwa vile unataka kusikia kuwa siko TRA ili tu nafsi yako ifurahi basi tufanye siko TRA, je hilo limebadilisha ukweli kwamba TRA inalingana au imezidiwa na baadhi ya taasisi? Ni hivi afisa wa TRA mwenye degree anayeanza kazi analipwa 2.3M nje ya marupurupu, vile vile afisa wa JESHI mwenye degree anayeanza kazi yaani Luteni Usu (Nyota moja) naye analipwa 2.3M nje ya marupurupu, magumashi yapo kwenye kila taasisi sema ni wewe tu ndiyo hujui lakini siyo kwamba hayapo na siyo kwamba watu hawakusanyi pesa ndefu huko, na kama ni kujenga maghorofa tunawafahamu hadi masajenti wa jeshi wanaojenga maghorofa!
Mkuu, meneja wa tra wilaya analipwa ngapi?
 
Teh kama hujui idadi ya miradi wanayopewa jkt kwa mwaka basi kaa kimya! Jkt ni kamandi ya jeshi kama traffic ilivyo kitengo cha police sasa ukiniuliza jkt imeajiri askari wangapi kwenye hiyo miradi basi nami nitakuuliza huko traffic wamewekwa askari wangapi na je ni wote wana uwezo wa kukusanya hizo pesa kila siku na mahali popote tu watakapopangiwa hujanijibu!
--hapa hatuzungumzii askari Jeshi wote wa Jkt tunazungumzia specific ambao wako kwenye miradi Kama ya Ujenzi,Kilimo nk sasa nimekuuliza kwamba imeajiri watu wangapi hujui, jibu Ni kwamba hiyo miradi Ina Askari (wataalam) wachache tu waliowengi Ni wale nguvu Kazi ya JKT
 
Hivi kweli kwa akili ya kawaida mtu yeyote hata asiye muajiriwa wa TRA asikie Kamishna wa forodha atashindwa kutambua kwamba ni cheo kikubwa? Ndiyo maana nikakumbia nilishakuona hamnazo ulipoamua kumfananisha Kamishna na Meja!

Ila niliamua kwenda na wewe hivyo hivyo ili nikuoneshe kwamba hata Meja anaweza kuwa sawa na Kamishna kwenye kipato pamoja na kwamba mmoja ni mkubwa na mwingine ni mdogo! Halafu baadaye ndiyo nikakuambia kwanini pia usimlinganishe na wenzake Mameja jenerali ili twende sawa?

Huu uzi uko humu tangu mwaka juzi na mimi ni mmoja kati ya wachangiaji wa mwanzo kabisa! Kipindi walikuwa wanasema TRA ndiyo wanaongoza kwa kulipa vizuri sikuwahi kubisha nami niliamini hivyo sababu sikuwahi fanya kazi huku!

Ila tangu nimeajiriwa huku ilibidi nirudi kwenye huu uzi kusahihisha wanaoamini kuwa TRA ndiyo inalipa vizuri kuliko taasisi zote nchi hii na kudharau jeshi kuwa hakuna kitu! Ile mishahara aliyoorodhesha yule jamaa ndiyo iko sahihi tena tumezidiwa hadi na TCRA sasa jiulize kwanini silifananishi jeshi na TCRA ila nimekomaa na TRA, ni kwa sababu sasa hivi niko huku na najua kuwa TCRA wamelizidi jeshi ila TRA hatujalizidi ni almost tunalingana, ndiyo maana nikawaweka sawa wale wanaoamini tofauti ila wewe unakuja kuleta ubishi wa kitoto na wakati mengi huyajui unakisia tu!

Yaani bro kama unataka hadi na hili la mimi kuwepo au kutokuwepo TRA nalo tulifanye mjadala hapana kwa kweli sina muda wa kuprove kwako kuwa niko TRA! Maana wewe usipoamini ajili ya assumptions zako basi mimi sina cha kukusaidia na wala haibadilishi ukweli kuwa nimeajiriwa huku so siko hapa kukuaminisha wewe!

Maana nimegundua sasa umeanza kupotezea mada na kukwepa ukweli kwamba TRA tumezidiwa umehamia kwenye experiment ya kutaka kuprove kama nipo au sipo huku! Kana kwamba hilo ndiyo litabadili ukweli kuwa tumezidiwa na taasisi nyingi hebu baki kwenye mada kama mimi basi acha kurukaruka!

Anyway kwa vile unataka kusikia kuwa siko TRA ili tu nafsi yako ifurahi basi tufanye siko TRA, je hilo limebadilisha ukweli kwamba TRA inalingana au imezidiwa na baadhi ya taasisi? Ni hivi afisa wa TRA mwenye degree anayeanza kazi analipwa 2.3M nje ya marupurupu, vile vile afisa wa JESHI mwenye degree anayeanza kazi yaani Luteni Usu (Nyota moja) naye analipwa 2.3M nje ya marupurupu, magumashi yapo kwenye kila taasisi sema ni wewe tu ndiyo hujui lakini siyo kwamba hayapo na siyo kwamba watu hawakusanyi pesa ndefu huko, na kama ni kujenga maghorofa tunawafahamu hadi masajenti wa jeshi wanaojenga maghorofa!
-Maelezo marefu hoja hakuna,
- Kama ww ungekuwa unazo takwimu za TRA na huko TPDF kwa Nini awali ulisema kwamba meja wa Jeshi anamzidi Kamishna wa Forodha? Ulijibu hili ukiwa na ufahamu wa kutosha? Na ndio maana nikakwambia kwamba nilikuwa nimekuuliza swali la mtego
-Lazima tutake kuuliza kwamba uko TRA au wapi, ungekuwa kweli uko TRA na uko well-informed lile swali la kuhusu Kamishna wa Forodha vs Meja ulitakiwa useme aidha hujui au huna uhakika hapo ungeonekana mwerevu
-Kumbe Kuna masajenti wa Jeshi wanajenga magorofa Sasa mbona unakata traffic kumiliki magorofa?
-nina uhakika hauna degree na Kama unayo basi ina tatizo mahali kwa maana mtu msomi huwezi kusema bajeti ya Jeshi haijadiliwi bungeni, inaonekana hujui kazi ya bunge.
 
Usalama wa taifa wako chini ya wizara ya ofisi ya rais menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora na ambacho hakipingwi siyo bajeti ya wizara bali bajeti ya usalama wa taifa kama taasisi! Na ndicho nilichosema mimi kwamba bajeti ya wizara ya ulinzi na jeshi la kujenga taifa inajadiliwa lakini bajeti ya jeshi kama jeshi ambayo ni taasisi chini ya hiyo wizara haipingwi inakaguliwa tu hebu acha siasa zako wewe!
--mbona unajichanganya mkuu? Unasema kwamba "ambacho hakipingwi siyo bajeti ya wizara Bali bajeti ya Usalama wa taifa" hapa umejikanganya Bajeti ya Usalama wa taifa ipo ndani ya bajeti ya Ofisi ya Rais utumishi na utawala bora, hivyo basi inajadiliwa na inapitishwa bungeni Kama ya Tamisemi,
- Bajeti ya JESHI Ni Kama bajeti nyingine inajadiliwa, na Wabunge wanatishia kushika shilingi Kama wizara nyingine, Wabunge wanajadili Kama bajeti nyingine,
-ndio manaa pia hesabu za Jeshi inakaguliwa Ni kwa sababu wanapewa fedha za umma, na pia hata manunuzi yao yanakaguliwa na PPRA,
-Inajadiliwa na bunge halafu inapitishwa
 
Si unaona sasa yaani unakazana kwamba mtu hajui eti kisa hajakupa taarifa nafikiri kule juu nilishakuambia kuwa kwa faida ya hiko chombo siwezi kuweka taarifa zote ninazozijua hapa! Hizo chache tu nilizokuwekea umeshindwa kuzichambua bado unarukaruka nikikuwekea za ndani zaidi si utachangayikiwa au unafikiri mimi taarifa natunga kama wewe unayetumia mihemko?
-Kama unajua ni taarifa za Siri usijihusishe na mijadala baki nazo hizo taarifa zako za Siri,
- Sehemu chombo cha usalama chenye usiri mkubwa hapa Tanzania Ni Usalama wa taifa tu na ndio maana hesabu zake zinakaguliwa lakini hazichapishwi hadharani Kama za Police, JESHI, magereza,uhamiaji,zimamoto
 
Teh nisijihusishe na mijadala kisa wewe unayeuliza maswali ambayo hayaendani na kinachojadiliwa? Mada imehusu mishahara na mimi tangu mwanzo nimekuwa nikilinganisha mishahara ya watu walio na level moja ya elimu na position sawa kwenye taasisi tofauti sasa wewe unakuja na assumptions zako kisa umeuliza swali lisiloeweka na ukakataliwa kujibiwa?
--ww mwenyewe si umesema Mambo mengine huko jeshini ni Siri, Mimi nikakujibu kwamba Kama unaona ni Siri basi usijihusishe na mijadala humu jf
-sasa kwa Nini useme baadhi ya Mambo ya kimishahara huko jeshini ni Siri, basi usijiingize kwenye mijadala, au umetumia neno Siri Kama mbinu ya kujificha/kuogopa kujibu hoja.
 
Hehe naona umeshikwa pabaya sasa umeanza ad hominem attacks hadi kuanza kuhoji kama nina degree au sina na umebaki kushikilia hilo hilo la kamishna wa forodha na meja wa jeshi! Ni hivi wewe umesema kamishna "ana uwezo" wa kupata 30M kwa mwezi na mimi nikataka kukuonesha kwamba hata meja ana uwezo wa kupata 30M kwa mwezi na hapo hawalingani kicheo!

Ndiyo nikakuambia pia umlinganishe na mameja jenerali ambao ndiyo wenzie kicheo wewe umekazana habari za mimi kuwa TRA! Teh pole mkuu haya mambo usipende kukurupuka nimekupa mishahara ya maafisa wenye degree wanaoanza kazi kwa taasisi mbili TRA na TPDF kwamba inafanana hilo unajifanya hujaliona umekazana na kamishna na meja ambao sijui hata wanahusika nini na hii mada!

Masajenti wa jeshi wanaojenga maghorofa wapo ndiyo na matraffic kama wewe umewaona ambao wanajenga maghorofa basi sawa sikubishii! Lakini kusema kwamba magumashi wanayopata matraffic ni makubwa sana kushinda ya wanajeshi walioko kwenye miradi ya jkt ni uongo wa mchana kweupe kwa sababu mahesabu uliyopiga ni ya kwenye maandishi tu na siyo uhalisia na ukizingatia kuna maswali nimekuuliza kuhusu hayo mahesabu umepuyanga!
-ninapotumia neno anaweza maana yake Kuna vitu haviko constant, mfano overtime huwa hazilingani kuna mwezi zinakuwa nyingi Kuna mwezi zinakuwa kidogo, Kingine Safari Kuna mwezi Safari zinakuwa nyingi na Kuna mwezi Safari zinakuwa chache, ndiyo maana nikatumia neno 'anaweza' maana yake Kuna variation
-sio kwamba ukataka kunionesha Meja anaweza kupata Kama Kamishna wa Forodha, ni kwamba nilikuuliza swali la mtego ukanasa, ungekuwa smart ungesema kwamba ww hujui mishahara yao au huna uhakika ili kuepuka kunasa kwenye mtego
-Salary scale ya luteni ni 1.5 M .
-Kuhusu mahesabu ya magumashi wewe ulisema haiwezi ikawa kila siku inafanana ukasema Kuna siku inaweza kupungua, Mimi nikakujibu je hakuna siku magumashi yanazidi kiwango? au hukumbuki?
-nimehoji Kama una degree kwa sababu Kama kweli una degree huwezi kusema Bajeti ya JESHI haijadiliwi bungeni
 
Mkuu elewa kiswahili bajeti ya jeshi kama jeshi HAIPINGWI hata ikaguliwe mara elfu moja ila HAIPINGWI tofauti na taasisi nyingine ambazo bajeti zao zinaweza zikapingwa na kurekebishwa! Hivi kiswahili ni kigumu sana kwako au shida nini?
- bajeti ya Jeshi Ni Kama ya Tamisemi, Wabunge wanajadili, wanairekebisha, wanaitolea maoni,
- kuhusu kupingwa wewe umewahi kuona lini bajeti ya wizara yoyote bunge limeigomea / kuipinga kuipitisha hebu itaje? Kwa maana Chombo chenye mamlaka ya kupitisha,na kujadili Bajeti Ni Bunge tu, na hata ikitokea matumizi ya JESHI yamekuwa makubwa kuliko fedha walizotengewa itabidi Waziri wa Ulinzi apeleke bungeni bajeti ya ziada, na sio kwamba JESHI litajichukulia fedha tu kiholela.
 
Mkuu mbona nilishakuambia tufanye siko TRA ili ufurahishe nafsi yako maana umeshadanganywa kuwa TRA tunafaidi sana mema ya nchi kwahiyo ukahisi kusema niko huku basi natafuta ujiko teh! Ningekuwa natafuta ujiko si ningeamua tu kusema niko TCRA au EGA ambako afisa mwenye degree anayeanza kazi anakunja zake 3M+ ndiyo niamue kuchagua TRA kwa kipi?
-ulitakiwa ujibu mbona Mambo ya JESHI ulijibu na TRA ulitakiwa ujibu vile vile kuwa Meneja wa Wilaya analipwa bei gani,
 
Mkuu wewe hadi sasa umetaja mshahara wa mtu yeyote wa TRA? Mimi hadi sasa nimeshakutajia mshahara wa luteni usu jeshini wewe unayelazimisha nikutajie mshahara wa kila rank ya jeshi umenitajia mshahara wa nani huko TRA hadi sasa?
--inaonekana husomi Post zangu huko juu, Kama uko makini Kuna mahali nimesema mtu mwenye CPA (T) akiajiriwa TRA salary scale ni 3.2 M au umesahau ? Au nikuonyeshe hiyo Post yangu?
 
Wapi nimesema jeshi linajichukulia fedha kiholela! Mkuu huna unachojua kuhusu jeshi na namna linavyooperate sikia hebu acha huu ubishani wa kitoto usio na hoja ukiwa na hoja rudi tena tutaelekezana vizuri maana naona umeanza kuzunguka sasa!
-tatizo uko disorganized kwa sababu ni rahisi kuyumbishwa mfano (Meja vs Kamishna wa Forodha) awali nakuuliza swali unatoa majibu lakini baadae unakuja kurtract, nyingine mwanzo ulisema bajeti haijadiliwi bungeni nikakufundisha ukabadili ukaanza kusema kwamba haipingwi, nikakufundisha tena kwamba Kwenye bunge letu hakuna bajeti inapingwa huwa zinapitishwa tu
-
 
Back
Top Bottom