--kwa Nini awali ulikuwa unasema Meja anamzidi Kamishna wa Forodha,? Ndiyo maana nilikwambia nimekutega kwenye mtego ukategeka tafsiri yake Ni kwamba hujui hayo Mambo kwa undani, Hadi unafikia hatua ya kujifanya uko TRA kumbe ni uongoYuko juu kulingana na nani mbona unalazimisha mambo ambayo hayapo? Kamishna wa forodha cheo chake ni karibu sawa na Meja jenerali wa jeshi sasa mbona humlinganishi na hao, wakati hata hii mada imelenga kulinganisha mishahara ya watu wenye elimu sawa na position sawa mfano afisa wa TRA mwenye degree na afisa wa TPDF mwenye degree ambao ndiyo wanaanza kazi, ila wewe unarukaruka tu kama bisi mara traffic mara kamishna wa forodha unalazimisha kulinganisha wasiolingana vyeo asee!
-Kuhusu hao matrafiki and the like nilikuwa nakuonesha kwamba Kuna watu Wana hela hawategemei mshahara