Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Ndiyo maana nikasema "mfano" tuko mahakamani unaelewa maana ya mfano? Mfano mimi nimethibitisha kisha wewe ukapinga ukaulizwa ueleze kwanini unapinga ndiyo utajibu hivyo kuwa ni kwa sababu sijajibu maswali fulani fulani?
-Umejikita kwenye hypothetical tu, sisi tuko kwenye uhalisia, ndiyo maana hapo awali nilikuuliza tuko mahakama gani na kwa kesi gani ili tujue jinsi ya kujenga hoja
 
Nikuwekee salary slip yangu?? Sina uhakika wa baadhi ya maeneo ila najua mishahara ikoje. Mshahara wangu unafanana wa cheo kama changu, hivyo naangalia walionizidi na niliowazidi mishahara yao ndio nimeweka hapo.
Mishahara ya Maofisa wa TRA inacheza hapo. Iwe HR, Mhasibu, IT, wale Customs, Domestic nk. Elimu yako hukubeba kwenye ajira zinazohitaji kiwango fulani cha elimu nk nk nk.
JF bhna mtu anabishana na mtu ambaye yupo hapo for years kituko kweli. I stand to be corrected nimemaanisha kama siko sawa mtu aje aweke detail zake sahihi. Ila najua sana hivyo viwango. Extra Duty ndio hutubeba tena baadhi ya mikoa ni michosho tu. Kwa mwezi unaweza pata 400k, 300k, 200k, 100k kutegemeana na Level yako na siku ulizofanya kazi.
Mbona jamaa amekuelewesha tu. Au kusema hana uhakika kati ya Meja wa JWTZ na Kamishna wa forodha ndio kigezo cha yeye kutokuwa TRA?? TRA kuna, HR, UGAVI, IT, nk hivyo sio kila mmoja ana access ya kujua kila kitu.

JIONGEZE MZEE.
-Suala ya kuweka salary slip ni uamuzi wako binafsi,Mhasibu analingana na Hr unajua ili uitwe Mhasibu ni lazima uwe Ni CPA T, otherwise wewe ni afisa hesabu ii,
-Mimi nitathibitishaje kwamba upo hapo for years?
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu ubishi wa kitoto unaleta. Hiyo sheria sijui ya kuita Afisa hesabu unajua imeanza kutumika lini? Mi wakati naajiriwa wenzangu waliajiriwa kama wahasibu bila kuwa na CPA mzee, mm sikuomba huo uhasibu sasa. Afu unayemuelekeza kuhusu huo uhasibu ana ACCA mzee sio tu upuuzi wa CPA T za mchongo.

Mi nimejaribu kukupa picha tu, uone mishahara ya TRA ilivyo. Mi binafsi naona njaa kali tu, upige mishe wakati huo TAKUKURU muda wote wanakusaka kwenye njia zao.
TRA SACCOS naona michosho hivyo madili ndio hufanya watu washine, lkn mshahara sio mkubwa kama mnavyodanganyana huku jukwaani.
 
  • Thanks
Reactions: apk
Kwahiyo mkuu mtu kusema "i stand to be corrected" na kwamba hana uhakika maana yake ni lazima awe amekosea? Kwa taarifa yako tu ni kwamba jamaa alichoandika yuko sahihi kwa asilimia nyingi sana Tax Management Officers TRA wanarange kwenye 2M-3M kutegemeana na profession na hii siyo kutokana na ufahamu wangu bali ndiyo uhalisia uliopo!
-tafsiri yake ndiyo hiyo kwamba anaweza akawa amekosea aidha kwa kuzidisha au kuongeza, hivyo basi anaomba kusahihishwa kwa yeyote' anayejua' kwa ufasaha,
--Unasema inategemea na proffesion hapo hauko sawa Ukishaajiriwa kuwa Tax Management Officer II uwe umesomea Finance, Accounting, Business administration, Taxation, salary scale Ni ile ile kwa sababu kinachoangaliwa ni position na qualifications tu
 
Mkuu yaani unataka nikuwekee salary slips za hao wanajeshi ndiyo uamini kuwa wanalipwa vizuri? Nisipoweka mimi hizo salary slips maana yake jeshi halilipi vizuri kwamba unataka kutuambia mishahara ya jeshi inategemea na mimi kuweka salary slips zao hapa ili wewe uamini then ndiyo inakuwa ukweli siyo?
-ninachojaribu kakufundisha unapokuwa kwenye malumbano usitumie ushahidi wa kuambiwa, unachotakiwa ni kwenda straight kwamba Mshahara wa kitengo fulani ni 10M (at least) utaonekana Kuna kitu unasimamia.
 
Mkuu TRA sio kihivyo, njaa kali mpaka Tar kama hizi hali tete, Tunabet tu now kusogelea tar 24.
 
-Hakuna luteni aliyeishia form six mkuu labda kwenye jeshi lako! Kuhusu bajeti siyo wewe kuna sehemu umesema kuwa bajeti inarekebishwa saa hizi tena unasema hakuna bajeti inayopingwa?
--hakuna Luteni form six? Hayo unayoyasema ww ndiyo mkuu wa utumishi jeshini? Kwamba umepekua mafaili yote ukakuta hakuna? Mimi Sasa nasema wapo tena wengi tu
-Unajua maana ya kurekebisha na kupinga/kufuta, kurekebisha maana yake unaondoa baadhi ya vitu au unaongeza au kwa kupunguza ili kiwe Bora, Kupinga maana yake hiyo bajeti haipitishwi bungeni, nisome vizur
 
Bora na wewe unisaidie mkuu jamaa kashindwa kuleta hoja sasa kakimbilia kwenye personal attacks! Anadhani watu kusema tuko TRA basi tunatafuta ujiko kisa kuna mishahara minono wakati angejua wengine hiyo mishahara tunaiona ya kawaida tu kwa maisha ya sasa ambayo bila madili mambo hayaendi na hayo madili lazima uake kitaalam ukikurupuka PCCB wana wewe!
Mi nimekoswa juzi tu mamaeee..
 
Mkuu TRA sio kihivyo, njaa kali mpaka Tar kama hizi hali tete, Tunabet tu now kusogelea tar 24.
-Kuhusu suala la njaa ni lako binafsi kwa sababu Kuna Mambo Mengi kwenye salary mfano mtu ana mikopo benki, matumizi makubwa kupita kiasi nk
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] mkuu ubishi wa kitoto unaleta. Hiyo sheria sijui ya kuita Afisa hesabu unajua imeanza kutumika lini? Mi wakati naajiriwa wenzangu waliajiriwa kama wahasibu bila kuwa na CPA mzee, mm sikuomba huo uhasibu sasa. Afu unayemuelekeza kuhusu huo uhasibu ana ACCA mzee sio tu upuuzi wa CPA T za mchongo.

Mi nimejaribu kukupa picha tu, uone mishahara ya TRA ilivyo. Mi binafsi naona njaa kali tu, upige mishe wakati huo TAKUKURU muda wote wanakusaka kwenye njia zao.
TRA SACCOS naona michosho hivyo madili ndio hufanya watu washine, lkn mshahara sio mkubwa kama to mnavyodanganyana huku jukwaani.
-Nimekutolea utaofauti wa CPA na asiye na CPA, hayo masuala ya CPA za michongo hayo ni yako binafsi na ww kazana uipate uache kuita za michongo.
 
Nilishakutajia mshahara wa luteni usu ila bado ukaendelea kuleta ligi wakati hauna uhakika! Hata ningekuwa sijaoneshwa hizo salary slips bado haibadilishi ukweli wa wanacholipwa!
- kwa Nini Sasa kwenye kujenga hoja zako unapenda kutumia ushahidi wa kuambiwa? halafu wakati huo huo unachukua mifano ya 'mahakamani' hivi unajua uzito wa ushahidi wa kuambiwa?
 
-tafsiri yake ndiyo hiyo kwamba anaweza akawa amekosea aidha kwa kuzidisha au kuongeza, hivyo basi anaomba kusahihishwa kwa yeyote' anayejua' kwa ufasaha,
--Unasema inategemea na proffesion hapo hauko sawa Ukishaajiriwa kuwa Tax Management Officer II uwe umesomea Finance, Accounting, Business administration, Taxation, salary scale Ni ile ile kwa sababu kinachoangaliwa ni position na qualifications tu
We jamaa [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] bhana.
 
Nilishakutajia mshahara wa luteni usu ila bado ukaendelea kuleta ligi wakati hauna uhakika! Hata ningekuwa sijaoneshwa hizo salary slips bado haibadilishi ukweli wa wanacholipwa!
- kwa Nini Sasa kwenye kujenga hoja zako unapenda kutumia ushahidi wa kuambiwa? halafu wakati huo huo unachukua mifano ya 'mahakamani' hivi unajua uzito wa ushahidi wa kuambiwa?
Ninayo CPA tangia 2014, na ACCA tangia 2016. Niliplan kuisaka CIMA sema umri na majukumu yananiambia nijaribu PhD [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2].
Sawa Kama unayo
 
Oohh kumbe ni wewe ndiyo unasema basi sawa haina shida mkuu endelea tu kusema! Bajeti ya jwtz hairekebishwi aliyekudanganya vingine muambie akuombe msamaha!
- toa sababu za kisheria na kikatiba zinazolifanya bunge lishindwe kurekebisha Bajeti ya Wizara ya Ulinzi kabla haija ipitisha
 
Mkuu kuna njia nyingi za mtu kupata taarifa zikiwemo kuambiwa na kuthibitisha mwenyewe! Mimi njia zote hizo nimezifanya hivyo ninapokutajia mishahara yao siyo tu kuwa ni kwa sababu nimeambiwa bali ni kwa sababu nimethibitisha!
-Umethibitisha kwa kiwango gani?
-Hivi unajua uzito wa ushahidi wa kuambiwa? Na je unajua ni kwa mazingira gani ushahidi wa kuambiwa unatumika mf.mahakamani ambapo awali ulitolea mfano.
 
Yaani ni sawa na kuniambia nikupe sababu kwanini magari ya jeshi yana uwezo wa kupita upande wowote wa barabara, na traffic wasiwasimamishe wala kuwauliza! Jeshi ndiyo lenye nchi wewe, kwa nchi kama Tanzania usitegemee baadhi ya vitu ambavyo jeshi linapata kama upendeleo navyo vikaandikwa kwenye katiba au vikaongozwa na sheria!

Kwa taarifa yako asilimia kubwa ya bajeti ya hii nchi inapelekwa jeshini, kama unabisha nenda kwenye kambi kubwa za jeshi kama Monduli, Lugalo, Ukonga, Changanyikeni, Kigamboni nk uone namna wanajeshi wanavyoishi mule ndani! Hizo kufuru wanazofanya all under the expenses of the government, sasa wewe kaa hapo subiri katiba ikuelezee yote hayo sawa!

Privileges anazopata mwanajeshi kuanzia cheo cha Kanali sidhani kama huyo Kamishna wa forodha TRA anazipata wala kuzifikia, hapo bado hujazungumzia Majenerali bwashee na wala hauwezi kukuta zimeandikwa popote! Wewe endelea kusubiri hivyo vitu viwekwe kwenye katiba kana kwamba jeshi ni chombo ambacho mambo yake yote yana uwezo wa kusimuliwa tu hadharani kama story za udaku na kila mtu akayajua, hii nchi raia wengi mnaambiwa yale ambayo mnatakiwa kuyajua tu basi!
-ujenzi wako wa hoja haujakomaa umekaa kizamani zamani hivi ww kwa akili yako unaona ni sawa kwa gari ya Jeshi kupita Sehemu isiyohusika? hapa umeonesha kutokuwa na uelewa na upambanuzi wa Mambo na bado una utoto wa kuamini Jeshi ndiyo lenye nchi, ingekuwa ndiyo lenye nchi wangekuwa hawahojiwi matumizi yao Wala ukaguzi wa CAG usingekuwa unafanyika huko, privilege zote za Jeshi ziko kwa mujibu wa Sheria hata maduka ya bei nafuu yale ni baada ya Bajeti kupelekwa bungeni na finance act kutungwa ambayo itatoa excemptions za ushuru wa bidhaa wa baadhi ya bidhaa na huduma za Jeshi.
-Privileges za Jeshi zote zipo kwenye Bajeti, inaonekana ww hujawahi kusoma Bajeti za Wizara ukisoma Bajeti ya Wizara ya Ulinzi utakuta mchanganuo wote, Mfano unakuta Bajeti ya jumla ni Trilioni 2.3 (Bajeti ya 2021 - 2022), unakuta kabisa mishahara Ni kiasi gani, Posho za majenerali ni kiasi gani,Kama Wana misamaha ya kikodi pia huwa inaandikwa pia, bajeti ya Mafunzo kwa Askari pia imo humo ndani, au unataka nikuletee Makadirio ya Mishahara na Posho za mwaka huu? Ili uamini kwamba hakuna ambacho kinatumika jeshini bunge letu matumizi yake halijaidhinisha.
-Ona usivyokuwa mfuatiliaji wa Mambo eti asilimia kubwa ya Bajeti inapelekwa Jeshini ni uongo, asilimia kubwa ya Bajeti inakwenda Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano ambayo kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 ni shilingi trilioni 4.38, Wizara ya Elimu shilingi trilioni 5.26 ambayo ni sawa na asilimia 14% ya Bajeti yote, kwa hiyo umeona kwamba ww hauko well-informed na Mambo ya Bajeti mpaka unatoa taarifa za Uongo za kwamba Bajeti ya JESHI Ni kubwa kuliko zote kitu ambacho sio kweli
- Kwa hiyo Sasa umeanza kuongeza vyeo viwili Sasa umeanza kumlinganisha Kanali na Kamishna wa Forodha na ushuru wa bidhaa, na hapa ni lazima utashindwa, haya swali wamekwambia wanalipwaje?
-Taarifa za Jeshi mbona zinasemwa tu except zile chache ambazo ni za Siri, ingekuwa kila kitu ni Siri CAG asingeenda kufanya ukaguzi na kutoa hati, na PPRA wasingeenda kufanya ukaguzi wa manunuzi kuangalia Kama wanazingatia Sheria, ila Sehemu ambayo hata CAG akikagua taarifa zake ni Siri Ni 'Usalama na TAKUKURU' ndiyo huwa hazichapishwi,
-
 
Nyie watu, ebu piganeni ngumi tu yaishe
 
TRA MISHAHARA YAO INAKUWAGA HIVI.
TMA II 1.6M
TMA I 1.8 - 2+ M
TMO II 2.2 M
TMO I 2+ -3+ M
STMO 4-5 M
PRINCIPAL 6+ M
MANAGERIAL POSITION ZA TRA hazitofutiani sana na hao PRINCIPAL kwa maana ukiwa PRINCIPAL unakuwa na sifa za kuwa Manager.

TMA ni DIPLOMA

TMO ni DEGREE, MASTERS etc

STMO hutegemea uzoefu kazini mara nyingi 9+ yrs kwenye kazi.
PRINCIPAL uzoefu kazini 12+ yrs kazini.

Managerial position, ELIMU KUBWA KIDOGO (Diploma hawezi kuwa MANAGER hata kama ana uzoefu wa kiwango gani labda awe na ziada kama CPA, ACCA etc na hapo atakuwa WILAYANI) UZOEFU, UMAKINI, KUJITUMA.

DIRECTORS WA VITENGO. ELIMU KUBWA, UZOEFU MKUBWA nk

MAKAMISHNA WA KAWAIDA. UZOEFU KAZINI MARA NYINGI KAANZIA 20+ YRS kazini.

MAKAMISHNA (MKUU na MSAIDIZI) hizi ni nafasi za TEUZI KUTOKA KWA RAIS.

NB Kuna kazi zingine kama IT, ICT, HR, MIPANGO, nk mtiririko wake wa mishahara huendana na huo wa juu.
Madereva pia ni kulingana na UZOEFU.

I stand to be corrected.........

Wewe ni mkweli kabisa, rafiki yangu kaajiriwa huko nimeona hapo mshahara wake
 
Back
Top Bottom