-ukisoma bajeti Mambo muhimu lazima yawepo, usiri unaotawala Sana ni kwenye baadhi ya Sehemu/vitengo mfano Ofisi ya Rais (IKULU) hapa Kuna Siri nyingi Sana na hata hesabu zake hazichapishwi, Usalama nao pia Mambo yao ni Siri Sana ndiyo manaa hesabu zao zinakaguliwa lakini hazichapishwi, hoja yangu ni kwamba Kuna maeneo yenye Siri nzito kuliko Jeshi ambayo ni IKULU na Tiss (Usalama).Sasa ulichoongea ni nini na nilichoongea mimi ni nini? Si ndiyo nimetoka kukuambia kuwa SIYO KILA KITU kuhusu jeshi kinawekwa hadharani kwahiyo wewe unafikiri hivyo vilivyowekwa hadharani ndiyo vyote vinavyohusu jeshi maana naona mchanganuo unaoujua wewe ndiyo ule ule tu ambao hata mtoto wa primary anaweza kufundishwa shuleni!
Mwishoni kabisa nimeainisha kwamba raia wengi huwa mnaambiwa yale ambayo mnatakiwa kujua tu yaani vile vilivyoandikiwa kwenye katiba na takataka zote unazojua wewe vile ni sehemu tu ya matumizi yao! Kwa kuwa hakuna unalojua endelea kuamini hivyo kuwa bajeti ya $1B inayochanganuliwa kwenye hivyo vitabu ndiyo inayoenda jeshini kweli!
Halafu unapohoji kama magari ya jeshi kupita sehemu isiyohusika ni sawa kwani hapa tunaongelea uhalisia au kuhusu jambo kuwa sawa? Kama tukitaka tuongelee mambo kuwa sawa ulipaswa kwanza ujitafakari tangu mwanzo ulipoanza kusifia pesa za magumashi wanazopata matraffic na TRA nje ya mishahara kwa kudhulumu watu kana kwamba wanachofanya ni sawa!
-Shule gani ya msingi hapa Tanzania wanafundisha masuala ya Bajeti na utaratibu wa matumizi ya fedha za umma hebu itaje
- Kuhusu kusema raia tunaambiwa Yale yunayostahili, tunayostahili ndiyo hayo masuala ya matumizi ambayo nimekutajia hapo juu na kimsingi nimekuchambulia vizur Sana rudia kasome
--Inaonekana hujui bajeti na dhana nzima ya Bajeti yaani ww unadhani JESHI linaweza kukwapua tu pesa na lisihojiwe na kisikaguliwe kitu ambacho siyo kweli na ndiyo maana CAG anakagua na PPRA wanawakagua, ndiyo maana kwenye Post zangu za just huko nilisema kuwa hata ikatokea matumizi ya JESHI yamezidi waziri wa ulinzi itabidi apeleke bajeti ya Ziada bungeni kwa hayo matumizi ambayo yamezidi.
-Kuhusu Magari yao kupita Sehemu sio Mimi nilikupinga kutokana na ni hatari na ww ulivyoandika hapa uliandika kiushabaki kwamba hawafanywi lolote, Kuhusu pesa za magumashi Mimi hoja yangu ilikuwa ni kwamba wenye mishahara mikubwa wanaweza kuzidiwa na wenye mishahara midogo ambao wana magumashi Mengi,