-ujenzi wako wa hoja haujakomaa umekaa kizamani zamani hivi ww kwa akili yako unaona ni sawa kwa gari ya Jeshi kupita Sehemu isiyohusika? hapa umeonesha kutokuwa na uelewa na upambanuzi wa Mambo na bado una utoto wa kuamini Jeshi ndiyo lenye nchi, ingekuwa ndiyo lenye nchi wangekuwa hawahojiwi matumizi yao Wala ukaguzi wa CAG usingekuwa unafanyika huko, privilege zote za Jeshi ziko kwa mujibu wa Sheria hata maduka ya bei nafuu yale ni baada ya Bajeti kupelekwa bungeni na finance act kutungwa ambayo itatoa excemptions za ushuru wa bidhaa wa baadhi ya bidhaa na huduma za Jeshi.
-Privileges za Jeshi zote zipo kwenye Bajeti, inaonekana ww hujawahi kusoma Bajeti za Wizara ukisoma Bajeti ya Wizara ya Ulinzi utakuta mchanganuo wote, Mfano unakuta Bajeti ya jumla ni Trilioni 2.3 (Bajeti ya 2021 - 2022), unakuta kabisa mishahara Ni kiasi gani, Posho za majenerali ni kiasi gani,Kama Wana misamaha ya kikodi pia huwa inaandikwa pia, bajeti ya Mafunzo kwa Askari pia imo humo ndani, au unataka nikuletee Makadirio ya Mishahara na Posho za mwaka huu? Ili uamini kwamba hakuna ambacho kinatumika jeshini bunge letu matumizi yake halijaidhinisha.
-Ona usivyokuwa mfuatiliaji wa Mambo eti asilimia kubwa ya Bajeti inapelekwa Jeshini ni uongo, asilimia kubwa ya Bajeti inakwenda Wizara ya Uchukuzi na Mawasiliano ambayo kwa mwaka wa fedha wa 2021/2022 ni shilingi trilioni 4.38, Wizara ya Elimu shilingi trilioni 5.26 ambayo ni sawa na asilimia 14% ya Bajeti yote, kwa hiyo umeona kwamba ww hauko well-informed na Mambo ya Bajeti mpaka unatoa taarifa za Uongo za kwamba Bajeti ya JESHI Ni kubwa kuliko zote kitu ambacho sio kweli
- Kwa hiyo Sasa umeanza kuongeza vyeo viwili Sasa umeanza kumlinganisha Kanali na Kamishna wa Forodha na ushuru wa bidhaa, na hapa ni lazima utashindwa, haya swali wamekwambia wanalipwaje?
-Taarifa za Jeshi mbona zinasemwa tu except zile chache ambazo ni za Siri, ingekuwa kila kitu ni Siri CAG asingeenda kufanya ukaguzi na kutoa hati, na PPRA wasingeenda kufanya ukaguzi wa manunuzi kuangalia Kama wanazingatia Sheria, ila Sehemu ambayo hata CAG akikagua taarifa zake ni Siri Ni 'Usalama na TAKUKURU' ndiyo huwa hazichapishwi,
-