jiwe angavu
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 20,419
- 39,217
Huu uzi umevamiwa na wazee wa jw..hawataki kusikia wengine wanakula maisha huko kwenye taasisi..huku wenyewe wakifolenishwa kila siku.
#MaendeleoHayanaChama
#MaendeleoHayanaChama
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mishahara yao ni sawa na police tu.labda ubahatike uwe kitengo cha ulinzi wa viongozi ndio utakula kuku kwa mrija.Mbona TISS siioni au yenyewe wana mishahara kama walimu tu?
Hizo buku5 wanapokea kwa watu wangapi?Kama kuna pesa mbona wana Njaa sana kiasi wanapokea mpaka rushwa ya buku tano
Marupurupu sio mshahara!Exactly na hapo ni nje ya marupurupu, lakini Luteni kamili anacheza kwenye 2.3M pamoja na marupurupu.
Wewe ni police na sio mjeda yani bakabaka! HujuiNaona watu mnajadili sana mshahara wa jwtz lakn kiukwel huku mishahara ni ya kawaida sana sema tu kunaposho ambayo ni lak 3 kwa kila askar haijalish cheo kingine huku makambini huwa kuna vitu tunaita motisha yan mfano tunaweza letewa nyama tukauziwa kilo ata 2500 soda 300
Laki swala la mshahara nilakawaida sana ata safar zetu nje ya kituo huku tunaita night askar tunapata 70k na maafisa 100k
Labda kitakachofanya upate pesa huende ulinzi njee ya nchii huko japo huko napo maisha yanakuwa leani , kingine labda pia upate kaz makao makuu huko kidogo ndo kwenye malupulupu
Huko jw maisha niyakawaida sana tunachopata labda nikuogopeka tu mtaan basi lakin kwa hiyo mishahara ya mashirika mengine kama nikwel basi mpo vzr
Mshahara wa 2.3m huku kwetu ndo mshahara pamoja na malupulupu ya luten kanil kwa mwez
Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu huyu jamaaa ni muuza machungwa pale k/koo namjua sio mjeda hata.Mkuu wewe ni mwanajeshi gani usiyejua kuwa kuanzia cheo cha Kanali kuna vitu vya ziada unahudumiwa na jeshi? Hata cheo kikubwa kama Kanali ambao pia ndipo wanapoanza kuvaa vijogoo siyo cheo kidogo cha kusema eti mshahara wake ni mdogo!
Ndio maana nikakwambia hao Wana hela si salaryAlaa kumbe unaongelea pesa za rushwa ambazo wanazichukua kwa mabavu? Mimi nikajua unaongelea mishahara!
Hamia na ww EWURA, Kuna kozi ukizisoma mfano (Education, Medicine,) usahau kuajiriwa EWURA,TRA,BoT wenzio walichagua B.Com,BBA, ENGINEERING,HR,LAW,Tax SOCIOLOGY,IT, COMPUTER SCIENCE ndiyo wamejaa EWURA,TPDC,BoT,TRAPamoja na kwamba UZI ni wa siku nyingi na baadhi ya taasisi hazipo tena (SSRA being one of them ) lakini nimeangalia kwa HARAKA HARAKA (kama mleta uzi amefanya utafiti wake vizuri ) over 90% ya hizo taasisi ni service providers, sio production institutes, yaan zinategemea kuchukua either ruzuku au kuchuna sehemu ndio zilipane, mfano SSRA, EWURA nk. Tunawalipa kidogo watu wa muhimu (madaktari, walimu ) halafu tunalipa pesa nyingi kwa taasisi ambazo hata zikifutwa leo wala hazina impact yoyote kwa nchi. Natolea mfano mmoja wa kijinga; hivi mnafahamu over 10 years nauli za mabasi zipo chini zaidi kuliko bei elekezi ya serikali? Lingine fanya hili, tumia tu simu yako ya mkononi, uliza bei za mafuta sehemu uliopo, angalia bei elekezi ya EWURA halafu tembelea baadhi tu ya vituo vya mafuta, utagundua kwamba bei wanayo UZA ipo chini na bei pendekezwa; sababu ya hayo yote ni moja tu, ushindani wa soko unasababisha only wenye mitaji mikubwa kuendelea ku savaivu so why are we paying all of that salaries to those people? I am not saying wafutwe but tuangalie umuhimu wa sekta.
Huko Ni mshahara tu wenzenu TRA, POLICE TRAFFIC magumashi yakutosha hawategemei mshahara.Huyo jamaa amekosea huo siyo mshahara wa luteni usu tukiachilia mbali marupurupu. Na hata hizo taasisi nyingine zile amount zilizotajwa ni mshahara pamoja na marupurupu.
-Hata Kama hawawezi kukusanya kila siku hiyo 150,000/- lakini hela ya magumashi wanayo nyingi kuliko watumishi wanaotegemea mishahara,Kwahiyo kwa akili yako unadhani hiyo 150K ni constant kwamba atakuwa anaingiza kila siku au zaidi kwa mwezi au mwaka mzima mfululizo? Na unafikiri matraffic wote wana uwezo wa kukusanya yote hiyo mahali popote tu siyo?
Hizo Taasisi zilizotajwa ni salary hiyo bwashee, TRA unakuta Ni 2.7 M hiyo ni salary bado posho bado overtime ukijumlisha unajikuta ww unapokea posho mwenzio wa TRA anapokea mshaharaHuyo jamaa amekosea huo siyo mshahara wa luteni usu tukiachilia mbali marupurupu. Na hata hizo taasisi nyingine zile amount zilizotajwa ni mshahara pamoja na marupurupu.
Wenzio hela za magumashi ndio zinawafanya wajenge magorofaKama ni hela hizo basi wabaki nazo tu! Hapa tunaongelea taasisi zinazolipa vizuri hatuongelei taasisi zinazoshindana kuiba na kupokea rushwa so ni wewe ndiye uliyetoka nje ya mada!
--unataka kulazimisha ulingane na TRA wenzako wako juu 2.7M ndiyo salary ukiwa na CPA unalipwa 3.2 M (bado posho) ambao ni mishahara ya maluteni wawiliMkuu hebu rejea pale juu ukaangalie mshahara wa afisa wa TRA mwenye degree wacha kutunga story zako! Taasisi nyingi zilizotajwa zinacheza kwenye 1.8M-2.3M kama salary!
Maghorofa watumishi wengi tu wanajenga hata wanajeshi wapo wanaojenga maghorofa! By the way hayo maghorofa ya matraffic mbona huwa hatuyaoni na kila siku wanalia njaa?
--orodha iliyotajwa huko juu ni ya mishahara, lakini Kuna vitengo vina mishahara na magumashi ya kutosha mfano forodhaNdiyo wanazo nyingi kuliko watumishi wengi wa serikali ila siyo hizo taasisi zilizotajwa pale juu pamoja na jeshi! Ndiyo maana nikakuuliza hata wangekuwa wanakusanya 500K kwa siku AU ZAIDI unafikiri hiyo ni constant amount throughout the whole month or year na je unafikiri kila traffic ana uwezo wa kukusanya hiyo popote tu pale atakapopangiwa?
--Mbona unalazimisha kuwa wanawazidi? Kwani traffic hawawezi kuwazidi ?, Kuzidiwa kupo tu Mkuu, kwa sababu Magumashi huwa ni mengi kuzidi mshahara ndiyo maana ukienda Forodha unakuta mtu ana nyumba 70 ukijiuliza kazipataje huna majibuTatizo lako jamaa unaongea vitu kwa hisia na siyo uhalisia! Yaani wewe unafikiri mimi naongea hivi kwamba eti mimi ni mwanajeshi, au labda nawatetea wanajeshi wakati mimi naongea uhalisia kwamba hawa jamaa wametuzidi na vipato vya matraffic ukijumlisha mshahara, hayo magumashi na fujo nyingine zote unazozijua wewe bado hamzidi afisa wa jeshi kwa mshahara na marupurupu vinginevyo uniambie unabisha kwa kutumia mihemko ili tu uifurahishe nafsi yako hapo nitakuelewa mkuu!
-mbona unaanza kujitetea kuwa sio mwanajeshi? Naona umeanza kujifanya TRA kwa sababu Wana pesa nyingi na magumashi,Mimi siyo mwanajeshi mkuu na usichokijua ni kwamba hata mimi niko TRA ndiyo maana nakushangaa unavyojiropokea tu vitu usivyovijua! Hivi unajua Luteni analipwa sh ngapi mkuu?
Hata mameja na makanali tunawafahamu wengi wanaojenga maghorofa ya maana tena kwenye maeneo potential ambako ardhi yake haigusiki! Usiongee mambo usiyo na uhakika nayo!