Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

Mtoa mada nikupe tu TAARIFA WATUMISHI wengi NI WATUMISHI wa kawaida wasokua na vyeo

Na mshahara wa MWISHO wa mtumishi wa serikali NI sh 2,727,500/- unless km ana cheo km mkuu wa KITENGO au idara au mkuu wa taasisi msikaririshane Mambo ambayo hayapo na nkupe tu TAARIFA huyo ambaye yupo TRA mwenye degree anaeanza Kazi Hana tofauti na mwenye degree ya maendeleo ya JAMII wa Moshi vijijini

Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi wale Waliokuwa wanalipwa 45milioni kwa mwezi, ambao hayati kawapunguza Hadi 15milioni?
 
Sijapata ,sema nipo kwenye ajira ya ualimu nikiwa na TGTS D,sasa nilipoona tangazo TPA nineomba sasa nataka kujua hapa nilipo na nilipo omba wap panaunafu
Okay sawa sawa ngoja waje wakupe muongozo
 
Sijapata ,sema nipo kwenye ajira ya ualimu nikiwa na TGTS D,sasa nilipoona tangazo TPA nineomba sasa nataka kujua hapa nilipo na nilipo omba wap panaunafu
Hiyo TGTS D ni kiasi gani?
 
Back
Top Bottom