Nimekuja PM ila uko kimya kakaNjoo pm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuja PM ila uko kimya kakaNjoo pm
Sana ule uandishi wa kizazi cha big result now unamsumbua sanaUna hoja nzuri ila una uandishi wa kitoto.
Wakuu huu ndo mtiririko wa taasisi za serikali zinazolipa unono na zenye maslahi makubwa kwa watumishi wake
1. TPDC
2. TCRA
4. Ngorongoro
3. Ewura
4. WCF
5. TBS
5. TANAPA
5. Tume ya madini
6. Mamlaka ya chakula na dawa
7. SSRA
8. NSSF/PSSSF
9. BOT
9. Bunge
9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
10. TASAC
10. TRA
11. MSD
11. TAKUKURU
11. EGA
12. NHIF
13. TPA
13. TIC
14. KADCO
15. TANESCO
16. TANROAD
17. TAA
Sasa unakuaje tajiri kwa kuajiriwa hio ni ngumu sana...mzee sababu kama wanakulipa 12m kwa mwezi je unawez ipata hio 12m nje ya hio ajira...?Halafu mtu anakwambia huwezi kuwa tajiri kwa kuajiriwa 🤣🤣🤣
Hapa lazima akimbie...View attachment 1417650
Mkuu waeekee wanajukwaa proof kuwa unapokea hicho kitita cha 21M[emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sio wewe tu, wapo wengi sana mtaaniMaisha na ma gap watu mnazungumzia mshahara me na degree yangu ya Computer science Sina hata hiyo ajira [emoji26][emoji26][emoji26]
Usikate tamaa kiongoziMaisha na ma gap watu mnazungumzia mshahara me na degree yangu ya Computer science Sina hata hiyo ajira [emoji26][emoji26][emoji26]
AbsolutelyUsikate tamaa kiongozi
Huu kwa Diploma mbona mnono sana1.4 still parefu kwa mwenye cheti au diploma.
Ndio nani hao na wanalipaje mkuuTASAC kama haipo uzi huu ni batili
Kwa Ifficer 2 hii ndio gross salary zao in accordance with the row
1. TPDC 1.8m 2. TCRA 3.5m 4. Ngorongoro 1.8m 3. Ewura 1.8m 4. WCF 2.0m 5. TBS 1.8m 5. TANAPA 1.8m 5. Tume ya madini hawa below 1.5m 6. Mamlaka ya chakula na dawa 1.7m 7. SSRA 2m 8. NSSF/PSSSF 2m 9. BOT 1.8m 9. Bunge Hawa below 1m 9. Ofisi ya mkemia mkuu wa serikali Hawa sijajua 10. TASAC 2m 10. TRA 2.3m 11. MSD 1.8m 11. TAKUKURU Sijajua bado 11. EGA 3.07m 12. NHIF 1.7m 13. TPA 1.6m 13. TIC Sijui bado 14. KADCO hawa below 1.5m 15. TANESCO 1.2m 16. TANROAD Sijui bado 17. TAA 1.35m
Kama umepata kazi subiri barua ya ajira inasema kila kitu,usipate tabuTARI wanalipa shiling ngapi kwa Entry ya Research Assistant pamoja na benefits nyingine
Barua ipo ya ajira hiyo inasema Kila kitu?Kama umepata kazi subiri barua ya ajira inasema kila kitu,usipate tabu
Toka kwa mwajiri wako inataja umeajiriwa kama na nani salary unayoenda kulipwa,inaitwa barua ya ajiraBarua ipo ya ajira hiyo inasema Kila kitu?