Hizi ndio Taasisi zenye mishahara minono Tanzania

TZ mishahara ni modogo sana sana yaani max hapo ni 3.5...
 
Operations Clerk C ni TPGS 2 ambayo ni 960k, sijafahamu baada ya increment wanalipwa kiasi gani kwa sasa, so hiyo TPGS 1 huenda ikawa chini kidogo ya hapo, yaan kati ya 800k na 900k
Mkuu tafadhali.

Vipi kuhusu TPGS 4 ni sawa na Tshs ngapi?
 
Mie Kwa kweli kazi za Chini ya halimashauri siombi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiwa na sehem inakulipa vzr ,,hutaomba ila ukiwa jobless,, inafika kipindi unaitamani hyo 760k hakuna namna ... Wengine WANATAFUTA gap then utajua unajiongeza vp huko kazin iwe kielimu ka masterz, n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…